Umeona Tanzania tunavyothamini maendeleo ya wanawake na watoto?
Tanzania mbele kwa mbele.tumeona kwakweli big up in ( Baba diamond voice)
So lovely...nimeipenda sana picha hii
Hata Helkopta mbovu kama hiyo hatuna.Mwanajeshi wa mbele huko Tz hakuna mwanajeshi mchina