mwanamuziki REmi nae alikuwa Dr????JK ni Dr????
Wewe ni mwongo, tafuta posti niliyotetea maovu hayo ili ujiridhishe nafsi yako.
Nimelaumu kwa maovu na kupongeza kwa mazuri.
Tatizo la wengi wenu ni kukosa mizania au balanced approach ya matukio yanayoendelea.
Kuonyesha usivyo makini, hii thread si nimeianzisha mimi?
Au husomi?
Maji marefu naye Proffessor?mwanamuziki REmi nae alikuwa Dr????
Nimemuona huyo mama anaongea hapa nikatilia mashaka sana usomi wake. Nilivyosikia kapata tuzo hii kubwa nikaketi kwa makini kusikia anachotaka kutuambia watanzania hususan katika field yake lakini unfortunatelly ameongea habari zisizoeleweka.
I have noted that this individual is hardly objective in his arguments.
This can only be a submission of a semi literate, foul mouthed person.
No point to enrich the debate has been put forward here!
Mkuu it has always been said Never argue with a fool, people might not notice the difference!
kila mtu akifa ni kifo cha utata.inawezekana pia kuna akili za utataKatika habari za ITV saa mbili, Mama Dr Ester Mwaikambo ameonyeshwa akitunukiwa tunu ya Dr Martin Luther King na balozi wa Marekani nchini.
Hafla hiyo imefanyika ubalizini, ubalozi wa Marekani nchini.
Kwa mafanikio hayo nampongeza, lakini nampongeza zaidi kwa kongea ukweli juu ya hali ya wasi wasi uliotanda nchini.
Mama Dr Ester Mwaikambo amesema mafanikio yake yametokana na hali ya usalama na amani iliyokuwepo nchini kwa miaka mingi huko nyuma.
Akaongeza kuwa leo yeye ana miaka 70 lakini hali hii imebadilika na watu wanaishi kwa wasi wasi. Wanafunzi wanaishi kwa wasiwasi kwa kushindwa kujiendeleza vizuri.
Fujo za kuchoma nyumba na makanisa na hata watu kupigwa, hali hii inaondoa amani.
Mama Dr Ester Mwaikambo aliendelea kusema katika hali hii, vizazi vijavyo havitakuwa na amani na maendeleo kama waliyokuwa nayo wao.
NB Mama Dr Ester Mwaikambo ni mke wa marehemu Gibbons Mwaikambo aliyekuwa kati ya wadhamini wa CCM kabla ya kifo chake kilichokuwa cha utata miaka kadhaa iliyopita.
I suppose hata wakinisomea wanawake poa tu!Acha kusubiri Wanaume wakusomee then ukurupuke ku to up.
Let me use harsh language, we ni Kilaza tu
Kwa nini udokta usiishie chuoni pia? Na kwa nini title ya uprofesa iwe marufuku kutumika nje ya chuo? Hujaeleweka kabisa! Unayaelewa haya mambo kinaga ubaga? Nina mashaka na uelewa wako!
Probably the dawn of a new era mkuu!Ndugu yangu nimefurahia sana mabadiliko yako kimtizamo.........am now adding you as a friend
😛eace:
I suppose hata wakinisomea wanawake poa tu!
Na pengine hujajielewa kuwa katika boti la vilaza wewe ni nahodha!
Stay blessed!Cra.p....
kila mtu akifa ni kifo cha utata.inawezekana pia kuna akili za utata
Katika habari za ITV saa mbili, Mama Dr Ester Mwaikambo ameonyeshwa akitunukiwa tunu ya Dr Martin Luther King na balozi wa Marekani nchini.
Hafla hiyo imefanyika ubalizini, ubalozi wa Marekani nchini.
Kwa mafanikio hayo nampongeza, lakini nampongeza zaidi kwa kongea ukweli juu ya hali ya wasi wasi uliotanda nchini.
Mama Dr Ester Mwaikambo amesema mafanikio yake yametokana na hali ya usalama na amani iliyokuwepo nchini kwa miaka mingi huko nyuma.
Akaongeza kuwa leo yeye ana miaka 70 lakini hali hii imebadilika na watu wanaishi kwa wasi wasi. Wanafunzi wanaishi kwa wasiwasi kwa kushindwa kujiendeleza vizuri.
Fujo za kuchoma nyumba na makanisa na hata watu kupigwa, hali hii inaondoa amani.
Mama Dr Ester Mwaikambo aliendelea kusema katika hali hii, vizazi vijavyo havitakuwa na amani na maendeleo kama waliyokuwa nayo wao.
NB Mama Dr Ester Mwaikambo ni mke wa marehemu Gibbons Mwaikambo aliyekuwa kati ya wadhamini wa CCM kabla ya kifo chake kilichokuwa cha utata miaka kadhaa iliyopita.
Du!Tunaomba basi anaejua kuhusu kifo cha Mzee Mwaikambo mumewe na huyu mama atujuze huo utata ilikuwaje na wakati huo hicho kinatokea ilikuwa ni mwaka gani? CHADEMA ilikuwepo wakati huo
Tunaomba anaeyajua hayo MAUZAUZA hayo atujuze
Wasifu wa Prof EMwikambo:Prof Mwaikambo ni mfano wa kuigwa katika fani ya tiba nchini ameokoa maisha ya watanzania wengi, amefundisha madaktari wengi na ameponya watoto wengi enzi hizo nchi ilikuwa na madakatari wachache wa watoto yeye akiwa mmoja wao.Amefanya tafiti nyingi za tiba ambazo kwa sasa ni nyenzo kwa madaktari wanafunzi.Ni prof wa kwanza Tanzania mwanamke katika fani ya sayansi ya Tiba Alipokuwa kiongozi MEWATA alijitolea, na kushiriki kutibu akina mama wasio na uwezo.kwa sasa ndiye Rais wa wanasayansi nchini akiwa mwananke wa kwanza kushika nafasi hiyo.