Hongera Mama Dr Mwaikambo kwa kusema ukweli!

Hongera Mama Dr Mwaikambo kwa kusema ukweli!

Katika habari za ITV saa mbili, Mama Dr Ester Mwaikambo ameonyeshwa akitunukiwa tunu ya Dr Martin Luther King na balozi wa Marekani nchini.
Hafla hiyo imefanyika ubalizini, ubalozi wa Marekani nchini.

Kwa mafanikio hayo nampongeza, lakini nampongeza zaidi kwa kongea ukweli juu ya hali ya wasi wasi uliotanda nchini.

Mama Dr Ester Mwaikambo amesema mafanikio yake yametokana na hali ya usalama na amani iliyokuwepo nchini kwa miaka mingi huko nyuma.
Akaongeza kuwa leo yeye ana miaka 70 lakini hali hii imebadilika na watu wanaishi kwa wasi wasi. Wanafunzi wanaishi kwa wasiwasi kwa kushindwa kujiendeleza vizuri.

Fujo za kuchoma nyumba na makanisa na hata watu kupigwa, hali hii inaondoa amani.
Mama Dr Ester Mwaikambo aliendelea kusema katika hali hii, vizazi vijavyo havitakuwa na amani na maendeleo kama waliyokuwa nayo wao.

NB Mama Dr Ester Mwaikambo ni mke wa marehemu Gibbons Mwaikambo aliyekuwa kati ya wadhamini wa CCM kabla ya kifo chake kilichokuwa cha utata miaka kadhaa iliyopita.
kwa kusema ukweli mbele ya taifa hili ajichunge sana na vitu vyenye ncha kali
 
Hawezi kueleweka kwa bongo yako na pili ni kwasababu amesifia utawala ambao wewe na boss wenu mnachukia sana kusikia,kiasi mmeanzisha makundi ya kumkashifu mzee huyo marehemu!!!
Funguka hueleweki!
 
]Hivi hii niliopata katika link uliyo weka ni nini? nime kolezea kwa rangi nyekundu hapo chini[/SIZE]

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]44th President of the United States[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Incumbent[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Assumed office
January 20, 2009 (2009-01-20)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Vice President[/TH]
[TD]Joe Biden[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Preceded by[/TH]
[TD]George W. Bush[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]United States Senator
from Illinois[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]In office
January 3, 2005 (2005-01-03) – November 16, 2008 (2008-11-16)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Preceded by[/TH]
[TD]Peter Fitzgerald[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Succeeded by[/TH]
[TD]Roland Burris[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Member of the Illinois Senate
from the 13th District[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]In office
January 8, 1997 – November 4, 2004[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Preceded by[/TH]
[TD]Alice Palmer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Succeeded by[/TH]
[TD]Kwame Raoul[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Personal details[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Born[/TH]
[TD]Barack Hussein Obama II
(1961-08-04) August 4, 1961 (age 51)[SUP][1][/SUP]
Honolulu, Hawaii, U.S.[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Political party[/TH]
[TD]Democratic[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Spouse(s)[/TH]
[TD]Michelle Robinson (1992-present)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Children[/TH]
[TD]Malia (born 1998)
Sasha (born 2001)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Residence[/TH]
[TD="class: label"]White House (official)
Chicago, Illinois (private)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Alma mater[/TH]
[TD]Occidental College
Columbia University (B.A.)
Harvard Law School (J.D.)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Profession[/TH]
[TD]Community organizer
Lawyer
Constitutional lawprofessor
Author[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Religion[/TH]
[TD]Christian[SUP][3][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Awards[/TH]
[TD]Nobel Peace Prize[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Signature[/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Website[/TH]
[TD]barackobama.com[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Community organizer
Lawyer
Constitutional lawprofessor
Author

Unaelewa kweli wewe????
 
Kwani kinakushangaza kipi hapo?

Media Inquiries
The University of Chicago Law School handles media requests through the University of Chicago News Office. The Law School is happy to work with the media to provide access to our faculty members, who are experts on myriad subjects, or to provide comment on news stories where appropriate. For all media inquiries, please contact Sarah Galer at sgaler@uchicago.edu or 773 702 8365.

Statement Regarding Barack Obama
The Law School has received many media requests about Barack Obama, especially about his status as "Senior Lecturer."

From 1992 until his election to the U.S. Senate in 2004, Barack Obama served as a professor in the Law School. He was a Lecturer from 1992 to 1996. He was a Senior Lecturer from 1996 to 2004, during which time he taught three courses per year. Senior Lecturers are considered to be members of the Law School faculty and are regarded as professors, although not full-time or tenure-track. The title of Senior Lecturer is distinct from the title of Lecturer, which signifies adjunct status. Like Obama, each of the Law School's Senior Lecturers has high-demand careers in politics or public service, which prevent full-time teaching. Several times during his 12 years as a professor in the Law School, Obama was invited to join the faculty in a full-time tenure-track position, but he declined.

Siwezi Kukuacha hivi hivi kwa Sababu we ndo Zumbukuku usiyejua kitu wala ku dig kujua ukweli wa Kitu.
Obama hakuwa na wala sio Proffessor.

Q: Was Barack Obama really a constitutional law professor?
A:His formal title was "senior lecturer," but the University of Chicago Law School says he "served as a professor" and was "regarded as" a professor.
FULL QUESTION

When I was in law school, I addressed all of my course instructors as "professors," regardless of their rank or formal position in the school academic hierarchy (tenured professor, assistant professor, adjunct professor, lecturer, etc.). Was Obama exaggerating or factually wrong in referring to himself as a "constitutional law professor" at the University of Chicago Law School even though his official title was lecturer?
FULL ANSWER
Sen. Obama, who has taught courses in constitutional law at the University of Chicago, has regularly referred to himself as "a constitutional law professor," most famously at a March 30, 2007, fundraiser when he said, "I was a constitutional law professor, which means unlike the current president I actually respect the Constitution." A spokesman for the Republican National Committee immediately took exception to Obama’s remarks, pointing out that Obama’s title at the University of Chicago was "senior lecturer" and not "professor."
Recently, Hillary Clinton’s campaign has picked up on this charge. In a March 27 conference call with reporters, Clinton spokesman Phil Singer claimed:

Ila sikushangai sana Coz hata Mkwe.re nae ni Dr Kwako
 
Asante mkuu!
Kuna watu wanajitia kujua only to find out that they are puppies!

We ndo Zumbukuku.Kwanza Mama Mwaikambo ni Proffessor.
Pia Obama sio Proffessor, una akili FINYU sana wewe.

FactCheck.org : Obama a Constitutional Law Professor?
 
Siwezi Kukuacha hivi hivi kwa Sababu we ndo Zumbukuku usiyejua kitu wala ku dig kujua ukweli wa Kitu.
Obama hakuwa na wala sio Proffessor.

Ila sikushangai sana Coz hata Mkwe.re nae ni Dr Kwako
Sasa ulichoandika hapa kwa mbwembwe ndiyo nini?. Unabishana na official statement ya The University of Chicago Law School au unataka kubisha ili na wewe uonekane umesema.

unaruhusiwa kukumbatiana na conservative blogger and obamaphobia katika maoni yako lakini hauwezi kubadili ukweli.

Fact gani zaidi unataka zaidi ya chuo alichokuwa anafundishia. Kama huelewi maana ya maelezo usione aibu kuomba ili usaidiwe.
 
We ndo Zumbukuku.Kwanza Mama Mwaikambo ni Proffessor.
Pia Obama sio Proffessor, una akili FINYU sana wewe.

FactCheck.org : Obama a Constitutional Law Professor?
Huna haja ya kutukana, you have already proved how short you are on almost everything.
No need to expose your handicap!
 
Katika habari za ITV saa mbili, Mama Dr Ester Mwaikambo ameonyeshwa akitunukiwa tunu ya Dr Martin Luther King na balozi wa Marekani nchini.
Hafla hiyo imefanyika ubalizini, ubalozi wa Marekani nchini.

Kwa mafanikio hayo nampongeza, lakini nampongeza zaidi kwa kongea ukweli juu ya hali ya wasi wasi uliotanda nchini.

Mama Dr Ester Mwaikambo amesema mafanikio yake yametokana na hali ya usalama na amani iliyokuwepo nchini kwa miaka mingi huko nyuma.
Akaongeza kuwa leo yeye ana miaka 70 lakini hali hii imebadilika na watu wanaishi kwa wasi wasi. Wanafunzi wanaishi kwa wasiwasi kwa kushindwa kujiendeleza vizuri.

Fujo za kuchoma nyumba na makanisa na hata watu kupigwa, hali hii inaondoa amani.
Mama Dr Ester Mwaikambo aliendelea kusema katika hali hii, vizazi vijavyo havitakuwa na amani na maendeleo kama waliyokuwa nayo wao.

NB Mama Dr Ester Mwaikambo ni mke wa marehemu Gibbons Mwaikambo aliyekuwa kati ya wadhamini wa CCM kabla ya kifo chake kilichokuwa cha utata miaka kadhaa iliyopita.

Put in your mind that Prof. Mwaikambo is the first tanzanian woman professor ever!!
 
Hakuna kitachoeleweka kama umejiandaa kutoelewa
Nimemuona huyo mama anaongea hapa nikatilia mashaka sana usomi wake. Nilivyosikia kapata tuzo hii kubwa nikaketi kwa makini kusikia anachotaka kutuambia watanzania hususan katika field yake lakini unfortunatelly ameongea habari zisizoeleweka.
 
Put in your mind that Prof. Mwaikambo is the first tanzanian woman professor ever!!
Usionyeshe udhaifu wako wa kutambua wasomi wanawake na walioachieve huko nyuma.
Namtabua sana na kumheshimu mama Dr Mwaikambo kama the FIRST FEMALE DOCTOR who studied in Moscow from very humble beginings.

Lakini Chacharika ,sijui kama ulikuwa umezaliwa walipokuwepo kina mama Koda Udsm, Prof Marjorie Mbilinyi, Prof. Anna Tibaijuka.
Hebu fuatilia na kina mama Amandina , Udsm ili mind yako wewe ielimike.
 
Last edited by a moderator:
Sasa ulichoandika hapa kwa mbwembwe ndiyo nini?. Unabishana na official statement ya The University of Chicago Law School au unataka kubisha ili na wewe uonekane umesema.

unaruhusiwa kukumbatiana na conservative blogger and obamaphobia katika maoni yako lakini hauwezi kubadili ukweli.

Fact gani zaidi unataka zaidi ya chuo alichokuwa anafundishia. Kama huelewi maana ya maelezo usione aibu kuomba ili usaidiwe.

JK ni Dr????
 
Ubishi wa kibongo umeshaanza, mtu ana Bachelor degree anasema yeye ni graduate!
 
Acheni ujinga wenu hivi unajua kama Baraka Obama ni Dr PhD Prof. ulishasikia hata siku moja watu wakimuita Prof. au yeye kulalamika kwa nini haitwi Prof.? Huyo mama pamoja yote na aliyofanikiwa kwanza pia hongera zake lkn Uprofesa wake unaishia Chuoni kwake akiwa nje ni Dr. tu!

Kwa nini udokta usiishie chuoni pia? Na kwa nini title ya uprofesa iwe marufuku kutumika nje ya chuo? Hujaeleweka kabisa! Unayaelewa haya mambo kinaga ubaga? Nina mashaka na uelewa wako!
 
Umezunguka sana na kukosea kosea:
kwanza ni professor, pili amesema hivi yeye alisoma vizuri kwa sababu kulikuwa na amani ya kutosha . Pili akasema in the past ten years amani imeanza kutoweka udini unaingia na fujo za hapa na pale. Hapo alikuwa anamwambia dhaifu kuwa hakuna anachofanya madarakani zaidi ya kutowesha amani

Amani ilianza kupotea wakati wa Fisadi Mkapa alipoanza kulitumikia kanisa na kuanza kuwanyanyasa Waislamu...(Ten years past ) !

Huyo Mama ana akili sanaa na amesema kweli !
 
We ndo Zumbukuku.Kwanza Mama Mwaikambo ni Proffessor.
Pia Obama sio Proffessor, una akili FINYU sana wewe.

FactCheck.org : Obama a Constitutional Law Professor?
I have noted that this individual is hardly objective in his arguments.
This can only be a submission of a semi literate, foul mouthed person.
No point to enrich the debate has been put forward here!
 
I have noted that this individual is hardly objective in his arguments.
This can only be a submission of a semi literate, foul mouthed person.
No point to enrich the debate has been put forward here!
Mkuu it has always been said Never argue with a fool, people might not notice the difference!
 
Naunga mkono kwa yote yaliyosemwa. Naongeza tunapotoa mifano kuhusu mateso kwa ukatili wa kinyama wa aina hii tusisahau mauaji ya albino.
 
Back
Top Bottom