Hongera mama Anna-ACT

Duuh! mbona kafunikwa hivi? hata hasikiki yani hadi hiruma. ok tutampa ujumbe wa nyumba hapo singida mjini

Hivi wewe una matatizo gani mbona adabu imekupitia kushoto?
Kwa nini lakini watu wengine mnashinda humu kupotosha umma tu?
Hebu jaribu kuwa na busara basi kidogo kwenye post zako, kha!
 
Ninatamani kuwasikia wagombea wengine wote wakisema kula zao zote ziende kwa Lowassa siku chache kabla ya uchaguzi.
 
Nikiwa mwana Ukawa mkereketwa naomba nichukue fursa hii mwanamama Anna mgombea Urais kwa ushujaa Na uzalenzo Wa nchi hii!;bila kujali maslahi binafsi...Mara ya kwanza nilikuwa simwelewi but I'm telling you....she knows how to deal with political issues...mfano..Leo tu kwenye Taarifa ya habari ya ITV Amesema chanzo cha vyama vingi Lengo lake nilikuwa kuikosoa serialised pia kuchukukua madaraka( To take over)Na si vyama vya upinzani vyeenyewe kwa vyeenyewe kusigana haina maana lengo KUU Ni kukitoa madarakani chama kilichopo kwa kuwa hakijaleta matunda Yale yaliyokusudiwa...tena akaenda mbali Na kusema wananchi chagueni Upinzani..iwe yeye au chama pinzani chochote ilimradi kukipumzisha kilichopo...Ni mwanasiasa mkomavu pekeake ndo mwenye kuyaona haya...Tukumbuke..kule Mbagala chama cha ACT kilipozinduliwa Zitto badala ya kustic Na Agendas ya chama aliegemea kukashifu upinzani ili hali nae Ni mpinzani..sasa hapo LAZIMA MTU auliza Anatumika?...we Ni mpinzani unamsema mpinzani mwenzakoo inakuwa haileti maana Ni bora angeenda Tawala hapo isingekuwa Nongwaa....Mama Anna mgwiwira...Much Respect.!!!!

"Wanaomshabikia lowasa wakapimwe akili".
By Msigwa,
Huwezi unga mkono kwa kila jambo hata mambo yakipuuzi nayo uunge mkono?
 
Hivi wewe una matatizo gani mbona adabu imekupitia kushoto?
Kwa nini lakini watu wengine mnashinda humu kupotosha umma tu?
Hebu jaribu kuwa na busara basi kidogo kwenye post zako, kha!

Njaa Kali katumwaa aje kupotoshaa humu
 
Mama Anna ni mwanamke anayejitambua,nampenda sana.
Roho inaniuma kuona mwanamama huyu anaenda kupoteza muda wake maana ni dhahiri kwamba hatoshinda,ningependa sana kumuona bungeni.
Mwanamama huyu akiungana na majembe Halima Mdee,Ester Bulaya,Ester Matiko....kwanini heshima ya mwanamke bungeni iliyopotezwa na Anne Makinda na wenzie isirudi?
Tafadhali rais wangu Lowassa mfikirie huyu mama kwenye wabunge wa kuteuliwa.
 
Nikiwa mwana Ukawa mkereketwa naomba nichukue fursa hii mwanamama Anna mgombea Urais kwa ushujaa Na uzalenzo Wa nchi hii!;bila kujali maslahi binafsi...Mara ya kwanza nilikuwa simwelewi but I'm telling you....she knows how to deal with political issues...mfano..Leo tu kwenye Taarifa ya habari ya ITV Amesema chanzo cha vyama vingi Lengo lake nilikuwa kuikosoa serialised pia kuchukukua madaraka( To take over)Na si vyama vya upinzani vyeenyewe kwa vyeenyewe kusigana haina maana lengo KUU Ni kukitoa madarakani chama kilichopo kwa kuwa hakijaleta matunda Yale yaliyokusudiwa...tena akaenda mbali Na kusema wananchi chagueni Upinzani..iwe yeye au chama pinzani chochote ilimradi kukipumzisha kilichopo...Ni mwanasiasa mkomavu pekeake ndo mwenye kuyaona haya...Tukumbuke..kule Mbagala chama cha ACT kilipozinduliwa Zitto badala ya kustic Na Agendas ya chama aliegemea kukashifu upinzani ili hali nae Ni mpinzani..sasa hapo LAZIMA MTU auliza Anatumika?...we Ni mpinzani unamsema mpinzani mwenzakoo inakuwa haileti maana Ni bora angeenda Tawala hapo isingekuwa Nongwaa....Mama Anna mgwiwira...Much Respect.!!!!

Go back to the classroom and learn how to write.
 
Habari za chini kwa chini kutoka CCM zinasema muda sio mrefu viongozi Wa ACT watampa onyo kali au kumshinikiza ajitoe na kuumunga mkono Magufuli. Tathmini ya ndani ya CCM inasema siasa za Mama Nghwira sambamba na Mama Regina zimeua nguvu ya Mama Samia Suluhu za kusaka kura za wanawake. Wadadisi wanasema kura za wanawake kwa sehemu kubwa sana zimepungua sana katika CCM tofauti na ilivyotegemewa toka kampeni kuanza.
 
Nikiwa mwana Ukawa mkereketwa naomba nichukue fursa hii mwanamama Anna mgombea Urais kwa ushujaa Na uzalenzo Wa nchi hii!;bila kujali maslahi binafsi...Mara ya kwanza nilikuwa simwelewi but I'm telling you....she knows how to deal with political issues...mfano..Leo tu kwenye Taarifa ya habari ya ITV Amesema chanzo cha vyama vingi Lengo lake nilikuwa kuikosoa serialised pia kuchukukua madaraka( To take over)Na si vyama vya upinzani vyeenyewe kwa vyeenyewe kusigana haina maana lengo KUU Ni kukitoa madarakani chama kilichopo kwa kuwa hakijaleta matunda Yale yaliyokusudiwa...tena akaenda mbali Na kusema wananchi chagueni Upinzani..iwe yeye au chama pinzani chochote ilimradi kukipumzisha kilichopo...Ni mwanasiasa mkomavu pekeake ndo mwenye kuyaona haya...Tukumbuke..kule Mbagala chama cha ACT kilipozinduliwa Zitto badala ya kustic Na Agendas ya chama aliegemea kukashifu upinzani ili hali nae Ni mpinzani..sasa hapo LAZIMA MTU auliza Anatumika?...we Ni mpinzani unamsema mpinzani mwenzakoo inakuwa haileti maana Ni bora angeenda Tawala hapo isingekuwa Nongwaa....Mama Anna mgwiwira...Much Respect.!!!!

You must be so so craizy.

Kwahiyo kusema mseme nyinyi tuh na wakisema wenzenu shida?

Nyinyi chagadema si ndiyo siku zoote mnasimama kidete kuvishambulia vyama pinzan au mmejitoa ufaham?
 
Act ni kama Tlp mgombea wa urais anamuunga mkono Lowasa Wakat mwenyekit wake mrema anamsapot magufuli

Act mama mughwira anaonekana kutaka mabadiliko hata k.mkumbo anataka mabadiliko ila the supreme ayaaatolaaa anampigia kampen magufuli..nasikia hata ile dr.mihogo kwenda kuhutubia iringa kupitia act pale iringa aliloluteta ni msalit zzk mwenyewe ila mamamughira ndo alikataa kata kata
 
Wanyaturu wengi sio wanafiki
Mf.Anna Mghwira na Tundu Lissu tofauti na sisi wanyiramba mf.Mwigulu na Kitila Mkumbo.
 
Nimemsikia huyu mama kupitia taarifa ya habari ITV leo asubuhi, yuko vizuri. Anasema, "kuna ulazima gani kwenda kutibiwa tezi ndogo nje wakati kina mama wanalala chini" akisisitiza Upinzani ni kitu kimoja ni muda wa mabadikiko na hivyo CCM isichaguliwe kabisa.
 
Hata mimi nimesikia akisema amenifurahisha sana.

Namshauri kwa kiwa hawezi kushinda Urais ampigie kampeni Lowasa ila Ubunge uendelee kama kawaida.
 
Nikiwa mwana Ukawa mkereketwa naomba nichukue fursa hii mwanamama Anna mgombea Urais kwa ushujaa Na uzalenzo Wa nchi hii!;bila kujali maslahi binafsi...Mara ya kwanza nilikuwa simwelewi but I'm telling you....she knows how to deal with political issues...mfano..Leo tu kwenye Taarifa ya habari ya ITV Amesema chanzo cha vyama vingi Lengo lake nilikuwa kuikosoa serialised pia kuchukukua madaraka( To take over)Na si vyama vya upinzani vyeenyewe kwa vyeenyewe kusigana haina maana lengo KUU Ni kukitoa madarakani chama kilichopo kwa kuwa hakijaleta matunda Yale yaliyokusudiwa...tena akaenda mbali Na kusema wananchi chagueni Upinzani..iwe yeye au chama pinzani chochote ilimradi kukipumzisha kilichopo...Ni mwanasiasa mkomavu pekeake ndo mwenye kuyaona haya...Tukumbuke..kule Mbagala chama cha ACT kilipozinduliwa Zitto badala ya kustic Na Agendas ya chama aliegemea kukashifu upinzani ili hali nae Ni mpinzani..sasa hapo LAZIMA MTU auliza Anatumika?...we Ni mpinzani unamsema mpinzani mwenzakoo inakuwa haileti maana Ni bora angeenda Tawala hapo isingekuwa Nongwaa....Mama Anna mgwiwira...Much Respect.!!!!

Ni kweli kabisa. Huyu mama ni makini sana na ana akili na busara nyingi sana. Ataisaidia sana tz katika anga za siasa na uongozi. Mungu ambariki.
 
Mkuu,huyu mama Anna mghwila,yupo vizuri sana. Nimekuwa namfuatilia amenishawishi kwa namna anavyofanya siasa zake. amkomaa kweli,hana majungu hata kidg,bahati mbaya tu kuwa kura ya urais ni moja. Big up mama.

Na mara zote anahutubia akiwa amebeba ilani ya chama chake.
 
Ata mimi mfuasi sugu wa Laigwanan Lowassa nampa heshima zake huyu mama

Ukweli kabisa. Zitto akijaelewa maana ya upinzani ni nini mama huyu atakipeleka mbali ACT. Yaani hata act wakifanya upumbavu akahamia chadema anaweza kabisa kumudu nafasi ya Mbowe huko mbeleni.
 
mimi nilipo msikia jana, nilimwambia mkewangu huyu mama mmewake anaraha na anajivunia saana, viva mama anna. unajitambua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom