utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
1.kasi ya utumbuaji majipu ni nzuri na iendelee
2. Watalalamika sana. Kama ulivyosema bungeni dodoma kuwa haya majipu yamekaa vibaya na dawa ni kuyatumbua tu. Acha walielie. Wewe tumbua.
3.ukiona wanaanza kutoa matamko ujue wameguswa na ni majipu