Wakatoliki hoyeeeeeeeeeee
milioni2Hongera Lowasa, kura milioni 6 si utani. Inaonyesha jinsi alivyokubalika na kuaminika.
Hivyo Slaa uchaguzi wa 2010 alifikisha kura ngapi?
Mh Raisi wangu Lowasa Alisema... Tusifanye Fujo Na Tuendelee Kuwa Na Amani Kwa Maana Hata Acha Haki Ya Wanaukawa Na watz Kwa Ujumla Ipotee
Naamin Wanaukawa Wote Tunayaishi Haya Maneno
Kwl ndugu hakuna fujo wala nn ila Lowasa akisema hata sasa tuingie vitani basi nchi haitawalaki tena. CCM wamshukuru Mungu mana amempa Lowasa hekima na busara ila ingekua mtu mwengine kama?????? Basi ingekua shida hapa Tanzania..
Hayo ni mawazo mfu, Lowasa kawa mmeo anakuagiza uingie mtaani bila sababu? hiyo ni akili ya samaki, kwani unadhani ukivunjwa miguu Lowasa atakupatia miguu ya ziada? usidhani watu hawana akili kama za kwako kulingana na mawazo haya ya kipumbavu. inawezekana kwa upande wako hauna familia na wala hutegemei kuwa na familia, ni ujinga uliokizidi-viongozi hao watoto wao wamepelekwa nje ya nchi, alafu ww unasema upo tayari kufanyiwa majaribio ya mabomu na rusasi za moto.
Bado simtambui Magufuri kama raisi katika moyo wangu.
Comrades in arms.congratulations.Dont take this as a point of an end but a point of departure.it is not a beginning of an end but the beginning of the beginning.Lets move forward with stronger determination.The wind of change is stronger than what is in our minds .Lets keep on organizing the masses,freedom is coming soon.CCM must be uprooted..
utambue au usitambue utampisha tu
slaa angekuwepo, na ukawa ingesimama, bado slaa angepata kura nyingi zaidi
mmeongeza majimbo kama 12 tu! na mmepoteza 11!
nyie ni mafisadi,
mengine unatona, lowassa anenda kuchunga wanyama aliishakueleza wewe
Man is born once and dies once so I think am thinking critical. Its absurd that am arguing with a fool of the highest degree here. U need to go to school and study philosophy so that u understand what kind of a being u are cause it seems u are scared of what u don't even have an idea of damn I even don't know what kind of homo sapiens or cave man u are. But anyway u need education like seriously.
Free free free freedom...free at last. That's the song i shall be singing with even if I have lost my hands or body parts in times of war since man is free even if surrounded by death that freedom that no man will ever hurt u.
Clearly you are very stupid.
Nenda sasa pale Tume ukafanye fujo, Lowassa alishindwa kuingia pale, kamsaidie.