Hongera Lema! Hongera Chadema!

Nape bana... Tatizo la CCM ni kutumia nguvu na akili nyingi kupambana na kitu ambacho hawakiwezi(CHADEMA) kuliko kutatua shida za wananchi
 
taratibu mutabadilika kwa kusema japo ukweli kidogo.Hongera wanachadema na Lema wataipokea kama umeitoa kwa moyo mweupe
 
Nape njoo utoe hongera zako Arusha ili tuone umakini wako si unafikiri Arusha ni mabwege kama wewe
 
Jamani PREZZO hajaandika chochote huko Facebook kuhusu hii Rufaa? mnaoingia huko tupeni updates
 
Hakuana mtu atalalamika kama hukumu zinatolewa kwa haki.....jaji anatakiwa kuthibitisha bila shaka, ndio anamhumu mtu....... sasa jaji wa kesi ya lema pale Arusha, kulikuwa na mashaka, ndio maana watu walilalamika sana na kuituhumu Ikulu, maana kwa akili ya kawaida hakukuwa na kesi pale, ndio maana majaji leo wamesema waliofungua kesi hawakustahili, na kesi ikaishai hapo

 
hivi kweli wewe ndio unajiita katibu mwenezi wa CCM? bila shaka huo mkorogo unajipaka umesaingia kwenye ubongo wako na kuukoroga ubongo wako! Siamini kama kweli kauli ulizotoa ni zako au kuna mtu kwa kuibia ID yako! Anyway vipi kadi ya CCJ umerudisha lakini au na wewe una ndimi mbili??
 

Kajipange urudi baadae, dada
 

Mdogo wangu Nape, wakazi wa Arusha imekuja kutokea kuwa wanapenda sheria zilizoko vitabuni zifuatwe na si vinginevyo. Sasa jaribu kuangalia mfumo wa taasisi iliyoamua hiyo kesi kabla ya kesi hiyo kukatiwa rufaa, na taasisi hiyo hiyo iliyotoa uamuzi wa kumrudishia Lema ubunge wake.

Tatizo si Lema au wana Arusha, naamini hata JK anaelewa kuwa tatizo liko wapi, kama haelewi ni vyema akapitia ripoti ya Bunge kuhusu mahojiano ya ile Kamati iliyomhoji Mh. Lissu kuhusu uteuzi wa majaji by Kikwete. Unakumbuka yule jamaa aliyetajwa kwenye list ya fisadiz kisha JK akamteua kuwa jaji? Bahati mbaya yule jaji katika kesi ya Lema alitoa maamuzi ya kishikaji AND NOT BASED ON BOOK OF LAWS and FACTS. Arushans na watanzania kwa ujumla need the rule of law na si ushikaji. JK needs to rethink presidential appointments zake.
HONGERA WANA ARUSHA, CHADEMA, AND LEMA.
 
Shetani ni baba yako. Yaani unakiita chama cha ukombozi chama cha mashetani. Tena wewe ndo shetani mkubwa. Na siku tukiingia ikulu utafute pa kwenda
Acha mikwara wewe ikulu hiyo ya mfalme Mangungu? na mkikosa utaenda kupalilia shamba la kahawa la muasisi kule Machame?
 
Inaelekea Nape unaogopa sana maandamano kwa nini? Na vipi kujivua gamba kumeishia wapi? Achaneni na CHADEMA vueni hao magamba waliobaki muone kama CCM haitakuwa juu zaidi. Mkiendelea kuogopa inakula kwenu.

Ni wasio na busara tu wasioogopa maandamano ya "wapiganaji". Kuna nini cha kupigania? ngoje niendelee na nyuzi za wapiganaji kina saanane na wenzake wanavyolipuana, umezisoma?
 

Natafuta mwanafunzi wa Form Five PCM ambaye atatusaidia kutest tutology ya hizi statement za Nape maana anashindwa kijielewa hata anachokizungumnza.

Kama mahakama ya Rufaa imemrudishia Lema ubunge maanake mahakama kuu kanda ya Arusha ilipindisha ukweli kumwengua kwenye ubunge wake.
 
Nimekubali hii hatari wamechelewa sana kutoa matokeo ya darasa la saba walikuwa wasubili RUFAA YA LEMA ili kutupoteza kwenye matokeo mambaya tusijadili.
 

Lakini si unaona hukumu ya kwanza ccm na ikulu ilivyotia mkono? Leo yule jaji ameaibika sijui atasimamia kesi gani tena.
 
Kumbe na Nape kuna wakati huwa HAFIKIRII KWA MASABURI,Hongera na wewe,maana hata maneno yako yanaonekana umekua!
 

Lakini si unaona hukumu ya kwanza ccm na ikulu ilivyotia mkono? Leo yule jaji ameaibika sijui atasimamia kesi gani tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…