Hongera Lema! Hongera Chadema!

Nape bana!pongezi huku roho inauma.tuna huko uliko unamtumikia kafiri,siku moja utaona mwanga na utajiunga na makamanda kwa ajili ya ukombozi wa kweli.
 
Tutenganishe unafiki na uzalendo, kiongozi mkubwa aliyepewa dhamana ya kuwa katibu wa itikadi za chama haiwezekani asifahamu kuwa kuandamana ni miongoni mwa haki na wajibu wa raia pale wanapokuwa hawakuridhika na utendaji wa serikali yao, hivyo Nape anatakiwa atambue nchi hii bila maandamano haiendi kwa kuwa watendaji waliowekwa na CCM wamelala usingizi wa pono huku wakichota mamilioni na kuyahifadhi nje ya nchi! Namshauri nape badala ya kuongelea maandamano ya kudai uwajibikaji yanayofanywa na M4C dhidi viongozi wa serikali chini ya CCM, Awahimize magamba wenzake wachape kazi za kutatua kero za watanzania, vinginevyo atampongeza DR. SLAA mwaka 2015 akiingia Ikulu
 

Dos santos na wenzako wote akiwemo huyu Nape jr,ni kwamba lazima muelewe kelele za CDM kuhusu hukumu batili ndizo zilizopelekea uamuzi huu wa haki toka mahakama ya rufaa.

Pia kama mngekuwa waumini wa siasa safi nchini basi msingetumia mamilioni ya pesa za walipakodi kwa mambo ya ovyyo,kama vile kuchakachua matokeo ya uchaguzi,kufungua kesi za mapingamizi ya ushindi dhidi ya wabunge wa CHDEMA.
Pia msingetumia fedha za walipa kodi kuvuruga upinzani kwa kununua na kupandikiza masalia ndani ya upinzani.
Pia msingetumia jeshi la POLISI kuvuruga mikutano ya CDM

Shame on you .........lakini iko siku kitaeleweka.......kama Moi na KANU kilieleweka nina imani hata nyinyyi siku zenu zinahesabika tu
 
man we kweli ni jasiri! vp una maoni gani kuhusu masalia wa cdm? ungependa kuwaambia nini katika kipindi hiki kigumu wanachopitia? unamshauri nini zzk kuhusu kutegemea sangoma kuyalinda maisha yake?
Una matatizo ya Kurithi wake za watu.
 

haya ndio mawazo mgando,huna chakuongea kaa kimya,toa upuuz wako humu....pu..........vu zako
 
Hahahahahahahahahahahhahahah! kazi kwako Nnauye jr... viva Chademaaaaaa hatutaki unafiki ok!
 
Shetani ni baba yako. Yaani unakiita chama cha ukombozi chama cha mashetani. Tena wewe ndo shetani mkubwa. Na siku tukiingia ikulu utafute pa kwenda

hii ni pongezi au jazba??
mbona umekasirika kwa huu ushindi dhidi ya chama cha mashetani???
 
Mkuu hiyo ID ya Dos Santos ni ID zinazotumika kuivuruga CDM na ile ya Tuntemeke wote vipandikizi vya Nape Masalia.
 
NAPE huna sera nyie kalieni unafiki, wizi,udokozi na ujambaz wezi kabisa nyie...
maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi.....?mnajinufaisha kwa mgari na majumba ya kifahari huku wengi wanateseka watu wa chini wanashindwa hata kununua unga!!nyinyi wote kuanzia kiongozi wenu mkuu wa CCM MACHEKIBOBU mnauza sura hakuna lolote mnalofanya zaidi y akuharibu nchi......hiki chama cha MAJMBAZI
(ccm) lazima kizikwe 2015 in Jesus name
 
LOL! safi sana alisahau kama alipiga ukelele... umemkamata vizuri sana.

Pongezi za Kinafiki.Mbona ulivyoenguliwa UVCCM ulipiga kelele ukidai vigogo wa Ikulu wala Rushwa wakubwa ndio waliokuangusha.Leo unaisifia tena Ikulu.Pole sana Gamba.
 
Uharo mtupu!alivyovuliwa mlijipongeza!ameshinda unampongeza!how an idiot are you!you are inside out as anthropods Nape!puuu!

Sasa vurugu kurejea arusha baada ya kamanda lema kirudisha katika ubunge,wananchi wa arusha jiandaeni
 
Kijana mwenzangu Nape, Hakika CCM kina kazi kubwa mbele yake,
1 CCM Inashitakiwa kwa wananchi kwa makosa yafuatayo
Imeacha kabisa siasa za ujamaa na Kujitegemea ambazo ndizo siasa za kidugu
2 CCM Imeacha kuisimamia serikali hivyo kusababisa rasimali za nchi kufujwa
3 CCM imeruhusu gulio kubwa la biasharaya ya kuuza na kununua kura
4 CCM Imeruhusu wafa nyabiashara na magenge ya wahalifu kukitumia kama sehemu ya kujificha
5 CCM imeacha kukemea pengo kati ya Wenye nacho na Wasio nacho
Kwa mambo hao hapo juu
Ni kwamba CCM inahitaji watu Makini
Kuweza kuifanya irejee kwenye misingi yake ili kiendelee kudumu kwenye siasa za Tanzania
Najua CCM inaweza kutumia "Strategy" kuendelea kuwepo lakini njia hii ni kwa kitambo kifupi
Kaka waambia wakubwa Lazima mambo yarekebishwe zaidi
 
Umeanza vizuri mwisho umeharibu,ila ni kweli kama ulivyosema hujakua ukikua utaacha. Nitakuwa mchoyo wa fadhili nikiacha kukupongeza kwa ujasiri wa wewe kumpongeza Lema.
 
Hivi we nape unaweza kusema Lema ni mdogo wako?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…