Hongera Lema! Hongera Chadema!

again childish continues

sentesi fupi lakini maneno ya busara! nape amejaa utoto na ujinga,huwezi mlinganisha na vijana aina ya mnyika,januari makamba na zitto! pengine ndiyo maana amelea kitambi cha kijinga!
 

Kwani nani asiyejua kuwa Jk amepima upepo akaona akiingilia hata hii ambayo mawakili wenu vilaza wameshindwa kutetea uongo atajiweka kwenye nafasi mbaya sana afterall anajua bakora za Lisu.
 
Mkuu kwa Taarifa nilizonazo Lema yuko ndani ya Arusha tayari, Crashwise hebu tuthibishie na kamanda Mungi
teh teh teh bado mna hasira na Nape kwa sababu kamwita padiri BABU,halafu katoa siri kwamba bado ana kadi ya ccm.
Madhara ya ARV feki ndio haya yanajionesha wazi kwa wahanga, alaaniwe sana kada wa CCM madabida.
 
Last edited by a moderator:
Haki ilitakiwa itendeke katika hukumu ya mara ya kwanza, mmempatia lema ubunge wake sababu mlijua fka hata mngemfitin marudio ya uchaguz mdogo msingepumua!
 
Nimependa courage ya nape, hata kama ni pongezi za kinafiki lakini meweza, nadhani wahuika wamezipokea
 
Nape anaweweseka baada ya njama zao na masalia kuanza kufichuka na kuvurugika kwa mipango yao michafu.
 
Usiwe na tabu mkuu, hata JF huwa inatowa viti maalum, hawa huwa hawachelewi kulia na kusema hapa wanaonewa na JF ni Chadema. Mods huu uzi uacheni hapa hapa ujitegemee.

Haahaaa nimecheka sana mkuu, akina nape ni wabunge wa viti maalumu hapa jf
 
 
teh teh teh teh teh teh teh! Vijana wa PM7 hali mbaya sa hivi na kiongozi wao PREZZO,

chezea Ben weyeeeee!

Prezzo au Dogo! Special thanks to Ben and Mamuya.

Hii imekuwa wiki muhimu na kubwa kwa CHADEMA:
- Kikao cha CC na maazimio mazito
- PM7 & Zitto, (naf said).
- Kutimuliwa kwa mamluki na wasaliti kule BAVICHA Mwanza
- Ushindi wa Rufaa ya Lema dhidi ya kuvuliwa ubunge

Can't ask for more!
 

Nape unayajua maneno sana lakini kinachokushinda kuelewa ni mantiki yake! Ni kweli uongozi ni kuonyesha njia, na kiongozi shurti uongoze kutokea mbele; je Uongozi wa CCM yako ni kushamirisha Rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa mali ya umma, mikataba mibovu, wizi wa nyara za taifa, mauaji ya raia wasio na hatia yanayofanywa na polisi wa serikali ya CCM ndio uongozi unaotuhubiria!? ndio amani unayozungumzia hapa! Barbs to you.

Kumbuka Nape na ukue! UKIPENDA AMANI TETEA HAKI; daima penye dhuluma hakuna amani katu; kama ni maandamano yatafanyika tu; nyie mnaotegemea polisi andaeni risasi za kutosha.

Wewe badala ya kuzungumzia maswala ya msingi; unatafuna raslimali za chama na vuvuzela la kadi ya Dr wa ukweli sio magumashi kama wengine!!

Umesikia azimio la CDM, mwaka 2013, hakuna kulala ni mchakamchaka mpaka turudishe heshima ya taifa hili. Tanzania sio mali ya CCM.
 
NNnnnnnnnnnnnnnnnnnnnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaappeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..... uwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 

Lione na hili hizo njaa zinawafanya wanafiki wa kuhubiri uongo.
 
Wale walitumwa na sasa wataonja tamu ya kutumika kwasababu aliyewatuma atawatosa!
 
kuna kenge ndani ya kisima hiki..ngoja nitoke
 

Sijaona udhati wa moyo kwe hongera yako. sana sana unataka uambiwe "umekomaa kisiasa".
 
Dah....Nape we kiboko aise!!! CCM inachungulia kwenye mdomo wa choo sasa...mkikaa vibaya tu....kimenuka!!!!!!!
Mi sina mengi sana. ila tumezipokea hongera zako zilizojaa unafiki, husda na ambazo hazina mantiki yoyote, hizo ni hulka na silka zenu wana magamba puuuuuh!! Tumewachokaaaaaa.........!!!
 

Wewe unafiki umekuzidi, najua roho inakuuma sana. Vijana kama wewe unadhalilisha vijana watanzania kuwa ni wanafiki. Utampaje mtu pongezi za kinafiki namna hii, you better shut your mouth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…