Hongera kwa waliomshauri rais anyoe mzuzu

Hongera kwa waliomshauri rais anyoe mzuzu

Jerry Rawlings au ulimaanisha Tanganyika?
 
Kashauriwa na msukuma ambaye ni mganga wake pamoja na bashite!
 
Sina haja ya kuweka picha. Zitafute kwa muda wako.

Mh. Rais alikuwa ana mzuzu ambao kwa mujibu wa umri ulikuwa umeshaanza kuchafuka mvi. Kwa siku za karibuni namuona mkuu anang'aa kidevu kikiwa swafi kabisa.

Tafiti pondo na matokeo mchundo:
- Hakujawahi kuwa na rais mwenye mzuzu lakini mustache wapo wengi.
- Ukiwa na kazi ya maana serikalini na jeshini mzuzu naona kama hauruhusiwi hivi. (sina hakika)
- Sasa amiri jeshi kuwa na mzuzu.

Hongera waliomshauri.
Sasa tupate presidential portrait akiwa hana mzuzu.
Inaonyesha hana mpango hata mwili wake hadi ainyoa kila mtu anajua tu jamaa kanyoa, kwa nini asimuige January the cord? Hata siku moja uwezi mkuta na nywele kichwani.
 
Inaonyesha hana mpango hata mwili wake hadi ainyoa kila mtu anajua tu jamaa kanyoa, kwa nini asimuige January the cord? Hata siku moja uwezi mkuta na nywele kichwani.
Yule bro hana nywere,sasa unataka azioteshe na dawa za mchina au
 
Kweli jamani mmeshindwa kuweka picha
 
Back
Top Bottom