Kwanini na kivipi?K
Acha kujifariji ni ushirikina
Sidhan kama ni ushirikina?Kwetu sisi tulioamini huo ni ushirikina. Huu mjadala siupendi, tuuache.
Amini unachoamini Mkuu.
Kuamini chumvi inaweza kukuondelea matatizo yakoKwanini na kivipi?
Sasa apo ushirikina unadhihirikaje?Kuamini chumvi inaweza kukuondelea matatizo yako
Mambo ya kiroho sio ujingaUjinga ni janga lingine kubwa zaidi hapa nchini..š
Utakaso wa chumvi.
Hawa ni sikio la kufa kama yule mwenzao wa kansa.Waeleweshe Komwe
Zero kabisaZamani sisi tukiwa wadogo, ukipata mapele na matetekuwanga unaogeshwa kwa chumvi ya mawe na magadi, mapele yote yanaisha.
Hawa wasomi uchwara wa FOM FOO ya shule ya kata watanieleza nini mimi bwana! Dejane
MADIVISHENI ZIRO, ulimwengu uko huku, wao wako kule.
Yaan mim Chumvi ya mawe na kumanifest huniambii kitu aisee matokeo nimeyaona makubwa sanaZamani sisi tukiwa wadogo, ukipata mapele na matetekuwanga unaogeshwa kwa chumvi ya mawe na magadi, mapele yote yanaisha.
Hawa wasomi uchwara wa FOM FOO ya shule ya kata watanieleza nini mimi bwana! Dejane
MADIVISHENI ZIRO, ulimwengu uko huku, wao wako kule.
Chumvi inaifanyaje roho mkuu??Mambo ya kiroho sio ujinga
Mkuu hiv haya mambo ni kwel lakin??Nimekuwa nikifanya biashara na udalali kwa shida sana hadi siku nimeanza kutumia chumvi ya mawe sisemi ni dawa ila imani huponya
CHUMVI imesaidia kunipa kipato cha 200k kwa week i
Imenisaidia duka langu naona hela sasa sio kama zamani
Imenisaidia kupunguza na kumaliza madeni korofi
Imenisaidia kufanya biashara na watu niliokuwa nimegombana nao kiasi cha kutosemeshana
Matumizi
Nunua chumvi ya mawe sokoni hata ya 500 tu, weka kijiko kimoja kwenye maji ya kuoga ogea asubuhi na jioni hadi utakapoona mambo yamekubali