This is vere vere.leo wacha niweke yangu yaliko moyoni kwenu baba/waume zetu pamoja na story zote humu ndani najua huwa mnajifurahisha tu huku kupunguza stress tunazowapa bado mna mchango mkubwa sana kwenye familia naomba niwashukuru naamini wadada wote humu umtakubaliana na mimi hawa jamaa wanapigana kufa huko mitaani kwa ajili ya familia zetu mwisho wa mwaka umefika pamoja na tathmini nilizofanya ni pamoja na hii
Nawaombea kwa Mwenyenzi Mungu awape nguvu na mafanikio katika yale yote mnayofanya kwa ujenzi wa familia tuanze mwaka wa mafanikio tele kila la heri
Dah!!! Mimi sio mume wa mtu sasa sijui lini nitakuwa mume wa mtu lakini chauro all in all thanks for this useful post
This is vere vere.
Thanks
hata chuma ulete wote wanapewa hongeraHata maheartbreka wote pia hongereni sana
u have to be a father in the first place.....
nawashukuru kwa niaba pamoja na maumivu mliyopata bado michango yenu tunaithamini sana kwakweli mbarikiwe
hata chuma ulete wote wanapewa hongera
karibu sana nina zawadi maalumu kabisa kwenu nyie
lakini sio via mobile kwani mobile ni shetani
Chauro,leo wacha niweke yangu yaliko moyoni kwenu baba/waume zetu pamoja na story zote humu ndani najua huwa mnajifurahisha tu huku kupunguza stress tunazowapa bado mna mchango mkubwa sana kwenye familia naomba niwashukuru naamini wadada wote humu umtakubaliana na mimi hawa jamaa wanapigana kufa huko mitaani kwa ajili ya familia zetu mwisho wa mwaka umefika pamoja na tathmini nilizofanya ni pamoja na hii
Nawaombea kwa Mwenyenzi Mungu awape nguvu na mafanikio katika yale yote mnayofanya kwa ujenzi wa familia tuanze mwaka wa mafanikio tele kila la heri
especially tukiwa mbinguni.Lakini sio via mobile kwani mobile ni shetani
especially tukiwa mbinguni.
Dah!!! Mimi sio mume wa mtu sasa sijui lini nitakuwa mume wa mtu lakini chauro all in all thanks for this useful post
leo wacha niweke yangu yaliko moyoni kwenu baba/waume zetu pamoja na story zote humu ndani najua huwa mnajifurahisha tu huku kupunguza stress tunazowapa bado mna mchango mkubwa sana kwenye familia naomba niwashukuru ... katika yale yote mnayofanya kwa ujenzi wa familia tuanze mwaka wa mafanikio tele kila la heri