hongera kwa wababa wote wa JF

Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,968
1,475
leo wacha niweke yangu yaliko moyoni kwenu baba/waume zetu pamoja na story zote humu ndani najua huwa mnajifurahisha tu huku kupunguza stress tunazowapa bado mna mchango mkubwa sana kwenye familia naomba niwashukuru naamini wadada wote humu umtakubaliana na mimi hawa jamaa wanapigana kufa huko mitaani kwa ajili ya familia zetu mwisho wa mwaka umefika pamoja na tathmini nilizofanya ni pamoja na hii

Nawaombea kwa Mwenyenzi Mungu awape nguvu na mafanikio katika yale yote mnayofanya kwa ujenzi wa familia tuanze mwaka wa mafanikio tele kila la heri
 
Dah!!! Mimi sio mume wa mtu sasa sijui lini nitakuwa mume wa mtu lakini chauro all in all thanks for this useful post
 
leo wacha niweke yangu yaliko moyoni kwenu baba/waume zetu pamoja na story zote humu ndani najua huwa mnajifurahisha tu huku kupunguza stress tunazowapa bado mna mchango mkubwa sana kwenye familia naomba niwashukuru naamini wadada wote humu umtakubaliana na mimi hawa jamaa wanapigana kufa huko mitaani kwa ajili ya familia zetu mwisho wa mwaka umefika pamoja na tathmini nilizofanya ni pamoja na hii

Nawaombea kwa Mwenyenzi Mungu awape nguvu na mafanikio katika yale yote mnayofanya kwa ujenzi wa familia tuanze mwaka wa mafanikio tele kila la heri
This is vere vere.
Thanks
 
nawashukuru kwa niaba pamoja na maumivu mliyopata bado michango yenu tunaithamini sana kwakweli mbarikiwe

Hata maheartbreka wote pia hongereni sana
 
nashukuru sana kwa kuliona hilo.the world could have been a better place kama wanawake wote wangekua kama wewe.thanks alot
 
leo wacha niweke yangu yaliko moyoni kwenu baba/waume zetu pamoja na story zote humu ndani najua huwa mnajifurahisha tu huku kupunguza stress tunazowapa bado mna mchango mkubwa sana kwenye familia naomba niwashukuru naamini wadada wote humu umtakubaliana na mimi hawa jamaa wanapigana kufa huko mitaani kwa ajili ya familia zetu mwisho wa mwaka umefika pamoja na tathmini nilizofanya ni pamoja na hii

Nawaombea kwa Mwenyenzi Mungu awape nguvu na mafanikio katika yale yote mnayofanya kwa ujenzi wa familia tuanze mwaka wa mafanikio tele kila la heri
Chauro,
Watu wasione kama ni wewe umekosea, bali ni keyboard yako kwa bahati mbaya haina nukta, wala mkato, na ndiyo iliyosababisha hali hiyo kwenye bandiko lako.

Mdogo wangu Chauro, tunapokea hongera zako kwa MTIMA mnyoofu kabisa...ni mara chache sana watu huthubutu kukumbuka kushukuru, na wewe ni mmoja wao kwa leo.
Nasi tunarudisha shukrani kwako, uwe na amani tele!
 
leo wacha niweke yangu yaliko moyoni kwenu baba/waume zetu pamoja na story zote humu ndani najua huwa mnajifurahisha tu huku kupunguza stress tunazowapa bado mna mchango mkubwa sana kwenye familia naomba niwashukuru ... katika yale yote mnayofanya kwa ujenzi wa familia tuanze mwaka wa mafanikio tele kila la heri

Chauro

Kwa bandiko lako ili leo nitaanzia kunywa bia Calabash na kila muhudumu wa kike bia mbili mbili - Baa mpya nitapita mida ya saa sita kwahiyo kama kuna mwanachama atatangulie mitaa ya Boko awape taarifa akina Jose! wachukue mbili mbili
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom