hongera kwa wababa wote wa JF

NOTE:
Kama hujaona vizuri muazime babu miwani

HILI BANDIKO HALIWAHUSU WANAUME SURUWALE
 
orait orait uko wapi sasa kirumba, nyamagana, pasiansi, mwaloni, kapripoint, kilimahewa, kisesa, kitangiri, nyamanoro????
lol kumbe unakata mitaa eeh ,niko vijijini huku napanda mpunga ..hapa niko mapumziko kidogo
usihofu mama mkwe ni mkulima wa kisasa{namaanisha mambo ya kilimo kwanza}
 
lol kumbe unakata mitaa eeh ,niko vijijini huku napanda mpunga ..hapa niko mapumziko kidogo
usihofu mama mkwe ni mkulima wa kisasa{namaanisha mambo ya kilimo kwanza}

:A S-alert1::gossip::kiss::kiss:
 
lol kumbe unakata mitaa eeh ,niko vijijini huku napanda mpunga ..hapa niko mapumziko kidogo
usihofu mama mkwe ni mkulima wa kisasa{namaanisha mambo ya kilimo kwanza}
nilidhan uko likizo had mwakan kama ullivyoahidi
 
Ahsante sana Chauro. hope my she anishukuru hivi.. !! All the best
 
wababa kumbe mnadanganyika???? eti hongera na nyie mnafurahia.......lolollll, na akina bomboclat woteeeeee mshukuriwe bila kuwa sahau serengeti boyz wanaowezesha wadada kuwa watafutaji na wao kuwa walaji bila kusahau mafataki wote wanaowewezesha madent wenye tamaa kuishi town...:teeth:
 
aimen....
 
I always wonder if men can be praised and be thanked by their women cause I have never experienced the same since I tied up the knot with the one I have . Before I got into the life time prisons I used to get a lot of them even in the midnight.

But since you come out live to thank all of us for what we have done to u people , let me be part of recipient with one word;

We love women but they do not know that. We shed our bloods and die almost from nothing but stress ,fear of bankruptcy and their infidelity mostly silently but yet they ca,nt see it . Sasa ni mapenzi gani zaidi ya kumpenda mtu hadi kufa kwa ajili yake ? Kwa kweli mnastahili kutupongeza kwa kumaliza hata kamwaka kamoja tena .Chauro ahsante mwaya, Aika mae/ keku , ashe na le, thank you, merci beacoup .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom