mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
That's great, ni vizuri kutambua hatua mbalimbali nzuri zinazofikiwa na watoto wetu, hii itawasaidia kuwatia moyo kwa jambo kubwa zaidi, leo monitor, kesho kaka mkuu, next time president wa serikali ya wanafunzi chuo, na baadaye kiongozi mkubwa wa taasisi au hata nchi.
Ndo ivo mambo taratibuMwanzo mzuri...hongera kwa dogo..JF bhana stress free aisee..