Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,535
- 10,240
Moja kwa moja kwenye mada.
Najua viongozi wa jwtz wako humu.
Jwtz wenyewe (askari wenyewe) wako humu.
Nawapongeza sana kwa kutuliza hali ya nchi. Ni wazi, bila jwtz kuwa deployed mitaani kwa wingi, polisi peke yao wasingeweza kutuliza hali ikawa vile ilivyokuwa jana D9.
Pamoja na hayo...
Hivyo hivyo mlivyotuliza hali mitaani, nashauri pia yafuatayo.
1 Washaurini viongozi wa nchi hasa raisi kutenda haki. Atumie mamlaka na sio vitisho. Yeye ndiyo sababu ya kufika huku. Viongozi ndio wanaotishia amani ya nchi na sio raia. Sisi Gen Z ni reactors, ila viongozi hasa Raisi ndo actor. Aina ya utawala wake unatia hasira sana. Mshaurini ajirekebishe, kuanzia kauli zake, matendo yake. Wanahubiri amani bila kutenda haki, huo ni utahira. Mshauri raisi na wateule wake watende haki na amani itashamiri
2 Dhibitini na mkomeshe mtandao wa utekaji. Hilo swala linaichafua jeshi na kuonekana haliwalindi raia. Kama ni utekaji, basi uwe kwa watu ambao KABISA ni kwa wale watu wanaoonekana tishio kwa usalama wa nchi na sio kwa wafichua maovu na wasema kweli.
Nyie jwtz ndo mna dhamana ya usalama wa hii nchi, nyie ndo fainal say. Msitumike na kuwekwa chini ya wanasiasa bana. Hata kama raisi akitoa oda ya kijinga semeni hapana. Ni imani yangu kuwa sasa mmejifunza kuwa Tanzania kuingia kwenye machafuko kwa sababu ya upumbavu wa wanasiasa inawezekana.
Wasioitakia mema nchi sio raia, sio Gen Z wala sio wageni, NI hao wanasiasa wajinga wajinga walafi, WADHIBITINI HAO MUONE KUWA KUTAKUWA NA CHOKO CHOKO YOYOTE NCHINI. Lakini msipowadhibiti, haijalishi mtaweka ulinzi kiasi gani, haijallishi mtaua wangapi lakini ipo siku nchi itawaka moto na Tanzania itatengeneza wakimbizi.
Nimepata hasira ngoja niishie hapa. AAH MAMBO MENGINE NI YA KIPUMBAVU