PostGE2025 Mama anaifungua nchi au tuwaache kwanza?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

GemMaster II

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
3,600
Reaction score
11,302
Nchi imeoza hii hakuna cha TISS, JWTZ hawa nao hamna kitu ni vile walijificha kwenye kulinda mipaka na hawachangamani na siasa ila hamna kitu nao walewale, Police hawa ndio hopeless kabisaaa kila mtu anawajua hakuna haja ya kuwaelezea.

Kila sehemu kumeoza sio michezo, afya, elimu, mahakama, uchumi tunajiendea tu, watu wenye uwezo mdogo kichwani ndio viongozi.

Mtu akinambia elimu ya zamani ndio yenyewe tofauti na hii ya gen Z binafsi kama nina bunduki namshuti.

D9 ifike tu kwakweli.
 
Inafunguka...ila sijui inafungukia wapi
 
Back
Top Bottom