Hongera kwa JK zasababisha Bushoke kuzomewa tamasha la Fiesta

mkuu nakubaliana nawe, kwani katika uchaguzi wa 2010 nilitaraji dsm wangefanya mabadiliko ya msingi. Lakini cha ajabu wakawarudisha hata akina makongoro

mkuu na yule msanii wa jimbo la ilala eti walimrudisha
watu wa dar washwahili sana
 
Clouds wanajidaganya sana kuona wanakusanya umati mkubwa na kufikiri wana penda sera za radio yao (U CCM), ni lazima wajue kuwa watu wanafuata burudani na bia za promotion, haya ya kuzomewa yalimpata pia Mr Shigongo pale biafra kwenye tamasha alilo liandaa yeye akaleta mabo ya UCCM yaliyompata anajua mwenyewe, tuna msubiri Kibondemaji aje mbele ya umati alete za kuleta hapo ndo atajua anayo yazungumza akiwa studio hayana nafasi kitaani
 
acha kutoumiza kichwa watu wa mjini ndo wanaongoza kwa ukilaza hasa dar es salaam
Katika mikoa yooote TZ hakuna sehemu yenye watu waoga kama dar,ila kwa porojo na mipango wanaongoza utekelezaji 0.
 
Hivo ni visanii uchwara tu vinaganga njaa!Hiko kijamaa kuna kipindi kilifulia mpaka kikaamua 'kuokoka'!Kikaimbiwa hadi mwimbo 'mak muga'.Kimeamua kuwa connected na CCM ili kisurvive.
 
Isiishie hapo, tuanze kususia hadi show zake ili aone jinsi gani hatupendi uccm
 
mkuu nakubaliana nawe, kwani katika uchaguzi wa 2010 nilitaraji dsm wangefanya mabadiliko ya msingi. Lakini cha ajabu wakawarudisha hata akina makongoro
Usipende kuongea kitu usichokijuwa, watu wa Segerea walimchaguwa Mpendazoe lakini NEC ikalazimisha kumtangaza Jambazi Makongoro. hakuna mtu wa Segerea asiyejuwa kwamba Makongoro alikataliwa kwenye sanduku la kura, na ushahidi hata kata anayoishi yeye pale Segerea Diwani ni wa CHADEMA na kituo ambacho alipigia kura yeye Makongoro alipata kura 2.
 
Mkoloni mweusi CCM hawana tena nafasi katika jamii ya mtanzania,ukombozi wa pili unakaribia.
 
Nimeipenda sn hiyo anachokutoa pongezi kwa walioandaa tamasha la Fiesta na kumtuza hiyo tuzo, anampa Jk pongezi kwa jambo lipi zuri alilomfanyia? kweli ni haki yake kuzomewa.
 
Hivo ni visanii uchwara tu vinaganga njaa!Hiko kijamaa kuna kipindi kilifulia mpaka kikaamua 'kuokoka'!Kikaimbiwa hadi mwimbo 'mak muga'.Kimeamua kuwa connected na CCM ili kisurvive.
Kumbe ndio Macmuga?
 
Oooo,jaman huyu anahaki ya kumpongeza maana kwenye kampeni si ndio hupatiwa shavu la kurekod na kuanza kuzururaaaa??????
 
gud!watz hawapend upuuz tena haswa wana wa mjin wanapata news na wenye upeo huwez sifia sifia m2 kiholela kutafuta matonge wa2 2napata kdogo 2najilia starehe wewe unaleta siasa jukwaan!na mwngne mwenye kuthan wananch n kama wabunge la chama waopiga makof kila jk atamkwapo wajue n huko ndan bt kitaan hata mda ha2na
<br />
<br />
Watu wanaomzunguka mkulu wangekuwa na mapenzi naye ya kweli wangemwambia hata hii
 
Wangemtupia na chupa za maji ajue watu wamekereka
Sisi washabiki wa Yanga huwa hatutupi chupa zenye Maji, bali maji huwa tunayanywa na kisha tunaikojolea ile chupa kisha kwa mkono wa kuume huwa zinavurumishwa kuelekea kwa mlengwa...

Mzee wa Ruhsa na Musonye ndio wanaweza kukupa ushahidi juu ya balaa la Yanga
 
Kumtetea Kikwete yataka nawe kuwa kama yeye. . . Hahaah kizazi cha IQ below 2.
 
Watu tunapigika mtaani unga bei juu,mafuta ya taa taabu,ajira vijana hawana alafu wao wanaleta starehe ama kwa vile wao wanakunywa na kula vya kupewa

tena waishie hukohuko huku wasije kama wanataka waende Musoga huko kwa wak..re
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom