Alimshukuru JK kwa Amani,bas dah! masela wakambadilikiwa.
<br />ina maana faizafoxy hana airtime au mgonjwa??malari sugu je??sijaona gamba lolote likitetea
Nilishindwa kuamini jinsi msanii bushoke alipozomewa na kuonyeshwa ishara za kuwa atoke jukwaani baada ya kutoa pongezi kwa Kikwete.
Jamaa alipaniki mpaka akasahau hata kuchukua tuzo aliyotunukiwa na clouds kwa ajili ya ushiriki wa fiesta.
Siasa na Fiesta wapi na wapi? Hawa wasanii waache kujipendekeza sasa umezuka mtindo hasa nyakati za kampeni wanabadili nyimbo zilizopendwa na mashabiki wao zinakuwa za kisiasa, huku ni kujiua kisanii maana tayari unaleta mgawanyiko na chuki zisizokuwa za lazima leo hii ule wimbo wa pipiii! wa Marloo sijui marluu hata kuandika jina lake nimesahau, siupendi hata kuusikia kwa vile tu umekengeushwa ukatumika kwenye kampeni za CCM. Sijui kama wasanii wananielewa, na si hivyo tu hata kukengeusha wimbo kwa ajili ya matangazo ya biashara mfano Dully sykes, huu ni uzembe na ni dalili ya kutokuwa na ubunifu, inamaana hawawezi kabisa kutunga maalum kwa ajili hiyo?
Nilishindwa kuamini jinsi msanii bushoke alipozomewa na kuonyeshwa ishara za kuwa atoke jukwaani baada ya kutoa pongezi kwa Kikwete.
Jamaa alipaniki mpaka akasahau hata kuchukua tuzo aliyotunukiwa na clouds kwa ajili ya ushiriki wa fiesta.
Kweli hali ni mbaya.