uongo utakusaidia nini ?Hivi mtu kama Mdude unamteteaje? maana Kakutwa na kidhibiti kabisa.
Yule ni mwanakulitafuta mwanakulipata. Kaanza kuitafuta Serikali siku nyingi sana, sasa kaipata. Apambane tu na hali yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anampigania teja? Ila sishangai maana hicho chama kinawajuba sana wa Hizo mambo kuanzia uongozi wa juu
Unamaanisha au unatania.Hivi mtu kama Mdude unamteteaje? maana Kakutwa na kidhibiti kabisa.
Yule ni mwanakulitafuta mwanakulipata. Kaanza kuitafuta Serikali siku nyingi sana, sasa kaipata. Apambane tu na hali yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya majina yanaadhiri sana ubongo (akili)Anampigania teja? Ila sishangai maana hicho chama kinawajuba sana wa Hizo mambo kuanzia uongozi wa juu
Hongereni sana, maana walianza hatakusema chadema wamemtenga
Anampigania teja? Ila sishangai maana hicho chama kinawajuba sana wa Hizo mambo kuanzia uongozi wa juu
Chadema mahuzunisha sanaMungu ibariki Chadema