Hongera Kibatala kuwa tayari kumpigania Mdude CHADEMA

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,311
7,494
Jopo la mawakili linaloongozwa na Peter Kibatali limethibitisha kusimamia kesi inayomkabili mkosoaji mkubwa wa serikali ya Magufuli mdude Chadema
FB_IMG_1589699332625.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imagine this, Rais Kikwete aliwakimbiza M23 hadi wakatokomea

Amekuja Rais Magufuli kwa mshangao wetu anakimbizana na Mdude Nyagali wa gram23😂

Kwa hiyo Legacy ya hawa Viongozi wawili itakuwa kama ifuatavyo~
Rais Jaakaya Kikwete Target M23 results Victory

Rais John Magufuli Target Mdude Nyagali gram23 results
Failled miserably
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom