Hongera KIA kunahitajika Terminal mpya na waruhusu hotel kujegwa karibu

Tatizo Moshi na Arusha Ni karibu mno .Shutttle zipo kibao hotel hapo unataka za Nini?
Ni kawaida nchi karibu zote ziliz endelea Zina Airport Hotels. Kuna abiria wakishuka kutoka kwenye ndege wanataka waende moja kwa moja hotelini kupumzi na sio kuwa maneuvered kwenye mitaa kama wanyama.
 
si wanaanza ku experience SAFARI mkuu zile figisu figisu ndio wanaanza ku feel kweli wako africa
 
alafu kale kasehemu ka kusubilia ndege ukisha check in kadogo sana wengine hulazimika kusimama alafu kuna AC kali kinoma
 
Nimekuwa nasafiri kwa miaka kumi sasa na KLM, Emirates na Turkish airways. Asilimia zaidi ya 90% hasa KLM wanashukia KIA lakini nipadogo sana Vilevile hakuna Hotel karibu. Kuna viwanja vingi pale upande wa barabara ya Moshi-Arusha wangeweza kuruhusu hotel zijegwe. Lakini kikubwa ni terminal mpya ijegwe pale haraka
Hela ya kujenga hapo ilitumika nyumbani kwa mkuu wa kaya.
 
Nashangaa wanajenga kiwanja Chato sijui badala ya kutanua KIA. Sijawahi kuwaelewa hawa wajinga
Kwan wakijenga chato.c sawa tu, Maana watanzania wengi wanatumia ma bus kusafiri, ata mwisho wa mwaka wachaga wanapanda ma bus sijawai kuwasikia ata siku moja wachaga wakizungumia usafiri wa ndege, na ukitembelea KIA kumepooza akuna watu kabisa yani ukikuta abiria ni mtu mweupe.
 
Hakuna haja ya hotel KIA, sio hub wala transit point. Wanaoshukia KIA hawaji kitembelea KIA, ni au mlimani au mbugani. Na huko ndiko ziliko hotel.

Wanachohitaji ni mifumo ya kisasa inayopungusa visa processing time na migration procedures. Hata terminal hawahitaji mpya!!

Ninadhani ulikusudia kuzungumzia experience yako na kusafiri ya miaka 10. Huna point mkuu.
 
Kwan wakijenga chato.c sawa tu, Maana watanzania wengi wanatumia ma bus kusafiri, ata mwisho wa mwaka wachaga wanapanda ma bus sijawai kuwasikia ata siku moja wachaga wakizungumia usafiri wa ndege, na ukitembelea KIA kumepooza akuna watu kabisa yani ukikuta abiria ni mtu mweupe.

Sasa kama wachaga hawaongelei ndege ndio wasukuma? Kwani arusha/moshi wanakaa wachaga wenywe?
Hizi akili zenu nyinyi watu ni mbaya kuliko za mwendawazimu
 
Sasa kama wachaga hawaongelei ndege ndio wasukuma? Kwani arusha/moshi wanakaa wachaga wenywe?
Hizi akili zenu nyinyi watu ni mbaya kuliko za mwendawazimu
Mikoan akujafikia atua ya kujenga terminal ll, nikuongeza ukubwa wa vituo vya ma bus yakwenda Mikoa mingine, uwanja wa KIA unaweza ukaa masaa ata matatu akuna ndege yoyote inayotua wala kupaa, na akuna movement yoyote kumepooza.
 
Hotel ni muhimu sana hasa mtu kupumzika kwa ajili ya safari za alfajiri na usiku.
Inaleraga presha sana kwa safari za 06:00 kwani unatakiwa kuripoti 04:00
So hotel zikiwepo mtu analala unaamkia hapo kilaini
Tatizo Moshi na Arusha Ni karibu mno .Shutttle zipo kibao hotel hapo unataka za Nini?
 
Pamoja na kwamba ww ni kiazi mviringo, lakini hapa una hoja.
Ni hoja lakini sio ya msingi, soma hapo chini

Back
Top Bottom