HONGERA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA DR.MPOKI angalia aya majipu yanasumbua mno vyuoni ukuu

kulangwa22

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
739
546
:D:D:D:cool::cool:kwa heshima na taadhima napenda kukupongeza kwa moyo wa dhati kabisaa wewe ni mtu mchapa kazi sanaa ni halali na haki yako kabisaaa kupata ulicho kipata ,,,,, lengo
1.naamini kabisa chakula kufutwa katika vyuo vya afya serikali aijashindwa kugharamia ila ni tatizo la waliokua watawala nalo naisi ni JIPU ulipo kwa sasa naamini kabisaa sasa limeiva vizurii ulitumbue ikiwezekana tupewe MKOPO
2. Joining instruction inaonyesha
a)fedha ya cheti ..samahani naomba kuuliza mwanafunzi anaeanza mwaka wa kwanza na pesa ya cheti cha kuhitimu ya kazi gan wakat anamaliza baada yamiaka mi tatu???? JIPU??
b)mitiani ya ndani sh laki moja????????? ata mitiani ya vyuo vikuu HAIPO hili ni JIPU
C)mwaka 2015 wanafunzi wa mwaka wa kwanza walihairishiwa mtihani wa nekta ilihali walisha lipia ela na sasa wapo mwaka wa pili je wanalipia ya kazi gani tena au pesa zilipotea?????? JIPU
d)malazi ilikua sh elfu sabini natano per year saizi imekua laki na nusuuu jamanii awa wadiploma hawana mkopooooo?????ili ni JIPU
e)Procedure and prescrbng book mwaka jana walitoa kopi sh elfu mbili miatano eti mwaka huu imeandikwa elfu themanini jamani ili JIBU??

NI HAYO KWANZA KWA DHATI SANA WANAFUNZI WA CHUO CHA MMTC (MBEYA MEDICAL TRAINING CENTER WANAKUOMBEA MUNGU SANA WAKIKUMBUKA KIPINDI ULIWAFADHILI CHAKULA BAADA YA SERIKALI KUTOTUMA PESA ZA CHAKULA KWA KIPINDI KIREFUU WAKALA MILO MITATU KWA KIPINDI KISICHOJULIKANA KWA GHARAMA ZA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA
 
Back
Top Bottom