Centrehalf
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 509
- 145
ww ni maghembe nini??Salaam wana jamvi napenda kuchukua nafasi hii kuipongeza kk ya ccm kwa kuhoji utenda wa baadhi ya mawaziri.hatua hii ni nzuri kwani imelenga kwenye kuongaza dhana ya uwajibikaji.ila natoa hadhari ju ya namna ya kushughulikia matatizo ya namna hii.
1.tuswatangaze walengwa kwenye majukwa ya siasa.
2.tusiwaonee watu.
3.tuwe makini ili kulinda maslahi ya chama na serikali,maana tunaweza jenga chama huku tukiibomoa serikali yetu wenyewe au kinyume chake naomba kuwasilsha.
this is absolutely non-sense!!ccm ni zaidi ya chadema sacoss! Ccm kuna hekma na busara na chadema kuna chuki na hasara! Ccm kuna demokrasia chadema kuna umangimeza, udini, ukabila na ukanda!
Hiyo ndio misingi mikuu ya ccm! Ndio maana kimeweza kuongoza miaka yote hiyo na kitaendelea milele!
teh teh teh, jamani mbavu zangu mie, ccm kuna demokrasia ati??? Haa haa haa! Kweli kuna watu na viatu!CCM ni zaidi ya chadema Sacoss! CCM kuna Hekma na busara na chadema kuna chuki na hasara! CCM kuna demokrasia chadema kuna umangimeza, udini, ukabila na ukanda!
Hiyo ndio misingi mikuu ya CCM! Ndio maana kimeweza kuongoza miaka yote hiyo na kitaendelea milele!
teh teh, hatua gani zinachukuliwa? Ni uzushi tu na hakuna chochote!Ccm inakuhoji ili hatua zichukuliwe. Cdm inakufukuzia mbali moja kwa moja ................... Tofautisha.
Ccm inakuhoji ili hatua zichukuliwe. Cdm inakufukuzia mbali moja kwa moja ................... Tofautisha.
Mramba, daniel yona na mgonja. Wengine ni liyumba, maranda etc.Could you give example kwa ambaye ameshawahi kuchukuliwa hatua?? Start with mafisadi....
hamna lolote wavamia mashamba wakubwa nyie,na tutawamaliza kwa mawe subirini.............
hamna lolote wavamia mashamba wakubwa nyie,na tutawamaliza kwa mawe subirini.............