Hongera kamati kuu ya CCM

Centrehalf

JF-Expert Member
Jun 9, 2013
509
0
Salaam wana jamvi napenda kuchukua nafasi hii kuipongeza kk ya ccm kwa kuhoji utenda wa baadhi ya mawaziri.hatua hii ni nzuri kwani imelenga kwenye kuongaza dhana ya uwajibikaji.ila natoa hadhari ju ya namna ya kushughulikia matatizo ya namna hii.
1.tuswatangaze walengwa kwenye majukwa ya siasa.
2.tusiwaonee watu.
3.tuwe makini ili kulinda maslahi ya chama na serikali,maana tunaweza jenga chama huku tukiibomoa serikali yetu wenyewe au kinyume chake naomba kuwasilsha.
 
habariyamujini

JF-Expert Member
May 16, 2013
3,094
1,225
CCM ni zaidi ya chadema Sacoss! CCM kuna Hekma na busara na chadema kuna chuki na hasara! CCM kuna demokrasia chadema kuna umangimeza, udini, ukabila na ukanda!

Hiyo ndio misingi mikuu ya CCM! Ndio maana kimeweza kuongoza miaka yote hiyo na kitaendelea milele!
 
YouTube

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
941
500
Salaam wana jamvi napenda kuchukua nafasi hii kuipongeza kk ya ccm kwa kuhoji utenda wa baadhi ya mawaziri.hatua hii ni nzuri kwani imelenga kwenye kuongaza dhana ya uwajibikaji.ila natoa hadhari ju ya namna ya kushughulikia matatizo ya namna hii.
1.tuswatangaze walengwa kwenye majukwa ya siasa.
2.tusiwaonee watu.
3.tuwe makini ili kulinda maslahi ya chama na serikali,maana tunaweza jenga chama huku tukiibomoa serikali yetu wenyewe au kinyume chake naomba kuwasilsha.
ww ni maghembe nini??
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
33,489
2,000
Ccm inakuhoji ili hatua zichukuliwe. Cdm inakufukuzia mbali moja kwa moja ................... Tofautisha.
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,153
1,250
Mambo ya serikali kurudishwa chamani hapa mimi napata taabu kidogo!!!!

Hawatekelezeni ilani sawa,ni mawaziri hawa,wanatumia rasilimali za serikali hawa,waliapishwa serikalini (Ikulu)kwa kuteuliwa na Rais na ni watendaji wa Baraza la mawaziri chini ya mwenyekiti ambaye ndio mteule wao na katibu wa baraza PM sasa wakilega ki utendaji wanarudishwa chamani tena??????!!!!!

Wanawajibika chamani au serikalini????!!!!!!
Kuna haja Rais asiwe mwenyekiti wa chama na pia mawaziri wasiwe wabunge!!!!!
 
CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
951
500
ccm ni zaidi ya chadema sacoss! Ccm kuna hekma na busara na chadema kuna chuki na hasara! Ccm kuna demokrasia chadema kuna umangimeza, udini, ukabila na ukanda!

Hiyo ndio misingi mikuu ya ccm! Ndio maana kimeweza kuongoza miaka yote hiyo na kitaendelea milele!
this is absolutely non-sense!!
 
ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,211
0
CCM ni zaidi ya chadema Sacoss! CCM kuna Hekma na busara na chadema kuna chuki na hasara! CCM kuna demokrasia chadema kuna umangimeza, udini, ukabila na ukanda!

Hiyo ndio misingi mikuu ya CCM! Ndio maana kimeweza kuongoza miaka yote hiyo na kitaendelea milele!
teh teh teh, jamani mbavu zangu mie, ccm kuna demokrasia ati??? Haa haa haa! Kweli kuna watu na viatu!
 
chalantai

Senior Member
May 20, 2013
123
195
Ningeona wamefanya la maana kama wangeibana serikali na kuiwajibisha bungeni badala ya kuilinda halafu wanakuja kinafiki na kuhoji mawaziri behind closed doors ofisini kwao, serikali inawajibishwa na bunge ndani ya bunge na sio nje, nawasilisha
 
democratic

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
1,642
0
hamna lolote wavamia mashamba wakubwa nyie,na tutawamaliza kwa mawe subirini.............
 
Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
7,085
2,000
Mmmmh, kweli Watanzania ni watu rahisi kweli kuwadanganya, ni kama kumtongoza mwanamke tu, uongo mwingi kweli kweli, ndio maana wala hatupigi hatua, kuna mafisadi kwenye chama chetu, tunataka tuwavue magamba, hivi ilikuwepo sababu ya kutembea nchi nzima na kuwaambia wananchi kwamba kwenye chama chetu wapo mafisadi so tunataka kuwavua? Haya, tunaomba matokeo yake, gamba likakwamia kiunoni kama gamba 1 wapo lilivyosema. Mwenyekiti wa cc ni Kikwete, ndio rais wa nchi na ndio huyo huyo aliyewachagua kuongoza hizo wizara, ni mjinga tu anayeweza kupongeza maongezi ya cc eti mawaziri wamehojiwa, under perfomance yoyote itakayo oneshwa na mawaziri hao halafu isionekane kwa aliyemchagua tafsiri yake ni kwamba hata aliyemchagua nae ni dhaifu tu, kwangu mimi walichokifanya kina Nape kututangazia habari za mawaziri hao ni kumdhalilisha aliyewachagua pia!
 
bopwe

JF-Expert Member
Oct 1, 2013
1,769
2,000
hamna lolote wavamia mashamba wakubwa nyie,na tutawamaliza kwa mawe subirini.............

Allaa kumbe chadema ndio walio fanya mauaji yale mwanza ! Haya endeleeni tu na uharamia wenu mtaona mwisho wenu baada ya 2015 so mnamchezea Kikwete kwa vile anawachia mtajuta
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom