prs
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 2,642
- 3,376
Ccm inakuhoji ili hatua zichukuliwe. Cdm inakufukuzia mbali moja kwa moja ................... Tofautisha.
China wananyonga kabisa...Tofautisha..
Ccm inakuhoji ili hatua zichukuliwe. Cdm inakufukuzia mbali moja kwa moja ................... Tofautisha.
Salaam wana jamvi napenda kuchukua nafasi hii kuipongeza kk ya ccm kwa kuhoji utenda wa baadhi ya mawaziri.hatua hii ni nzuri kwani imelenga kwenye kuongaza dhana ya uwajibikaji.ila natoa hadhari ju ya namna ya kushughulikia matatizo ya namna hii.
1.tuswatangaze walengwa kwenye majukwa ya siasa.
2.tusiwaonee watu.
3.tuwe makini ili kulinda maslahi ya chama na serikali,maana tunaweza jenga chama huku tukiibomoa serikali yetu wenyewe au kinyume chake naomba kuwasilsha.
hapana mimi centrehalfww ni maghembe nini??
sio wote mkuu, unataka kuniambia chadema wote wako kama zitto?hamna lolote wavamia mashamba wakubwa nyie,na tutawamaliza kwa mawe subirini.............
Mmeshindwa kuvua magamba, mtaweza kufukuza mawaziri mizigo kama kina Hawa ghasia, kawamba na wenzao? Thubutu yenu!
Ccm inakuhoji ili hatua zichukuliwe. Cdm inakufukuzia mbali moja kwa moja ................... Tofautisha.
Ccm kwa VIKAO HAMJAMBO,UTEKELEZAJI big zeroSi tusubiri matokeo yake tuone mkuu?
salaam wana jamvi napenda kuchukua nafasi hii kuipongeza kk ya ccm kwa kuhoji utenda wa baadhi ya mawaziri.hatua hii ni nzuri kwani imelenga kwenye kuongaza dhana ya uwajibikaji.ila natoa hadhari ju ya namna ya kushughulikia matatizo ya namna hii.