Ni kweli anahitaji pongezi za dhati kabisa kwa kuweza kuficha ufisadi anaoendelea kuufanya ndani ta CHADEMA na pia wizi wa pesa za watanzania kupitia mkono wa kada Rostam Aziz ambaye kwa njia ya kisanii, Mbowe hupanda majukwaani mchana na kumuita fisadi lakini usiku huenda nyumbani kwa Rostam Aziz kupewa mshahara wake.
Kufanya kazi ya 'double agent' lazima uwe na uwezo kama wa Mbowe.
He's having double income and getting richer every second kwa maana nyingine, anajilipa mamilioni CHADEMA halafu anaenda tena kulipwa mamilioni ta pesa na Rostam Aziz.
He's smart, he's political malefactor.
Mbowe sio mwadilifu kwani amewageuza wabunge wa viti maalumu kuwa vimada wake
Habari wana JF..
Leo nimeona si vibaya kupitia Jukwaa hili,nikizitoa Pongezi zangu kwa Mwenyekiti aliyepata Mafanikio makubwa (Pengine kuliko wenyeviti woote wa Vyama vya Upinzani)
Katika uongozi wake..
Pongezi zangu nazituma kwako kwa Ukomavu wako na uvumilivu wako mkuu ..
Umerushiwa makombira Makubwa sana,lakini haukujishughulisha kujibu.
Hii inaonyesha ni kwakiasi gani ulivyo na Hekima,Busara na Ukomavu wa hali ya juu katika medani hii ya Siasa,Hasa Siasa za Tanzania yetu,zilizojaa Chuki,Uhasama na kila aina ya Vituko..
Hongera Kamanda..
Wana CDM tunaimani na wewe.
Mungu Ibariki CDM..
hongera zake
mbowe ni kamanda kweli, anakula luzuku zote za chama na bado anaambulia pongez, anakiuzia chama sklepa za magar bado pongez tu, anakula starehe na na dadaz kwa expenses ya fedha za selikar ndo kwanza watu wanasema huleeee! Kweli limbwata mbowe alilowalisha wana cdm ni noma
ha ha ha duuh inahitaji ujasiri wa simba kutetea uovu....anatafuna ruzuku bila aibu na bila kukugawia hata mia then unamtetea?
Pongezi hizo bora ungempatia Mwigulu Nchemba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri, kuliko kung'ang'ania kumsifu mtu ambaye hastahili sifa hizo hata kidogo; Kwanza yuko kimya kwa sababu Elimu yake ni ndogo hivyo hawezi kupata la kujibu vinginevyo atatukana na kuishia Mahakamani, pili anamadhambi makubwa sana kama vile kununua majumba makubwa Dubai na Marekani kwa fedha za Ruzuku yaani fedha za Chama, pia kwenda kutumia fedha ya walala hoi kustarehe na bi mdogo huku yeye ni cristian. Jamani Muogopeni Mungu.
Asifiwe nani huyu mbowe anaetuwiya cdm yetu mtowamada naona umechanganyikiwa kabisa mbowe busara hana ukitaka kujuwa hana busara angalia alivyo ingiza cdm kwenye matatizo ya uongozi kwa tamaa ya madaraka kafie barini ww na mbowe wako
We dady 1000 una matatizo ya akili. Kama unashindwa kuelewa uzandiki wa ccm dhidi ya chadema tena kwa kuwatumia wana chadema basi zitakuwa hazikutoshi.