Hongera Kamanda Mbowe!!

Kweli anastahili hongera ....mnabisha ?
 
hao wote uliowataja wako ndani ya CCM. Hv kwa nn hampendi kuweka ukweli uwe nuru? Personal issues hazina nafasi kwa kiongozi mkubwa kama Mbowe ila kwa ww buku7 unazijengea hoja. Hv kwenu hakuna wazee wakupe maadili?

Hapo ndipo ninawashangaa sana hawa jamaa.. Hapa Pongezi ni kwa utendaji wake Kichama na sio issue binafsi ,kwani issue binafc ziko nyingi sana hasa kwa Viongozi wenye majina makubwa Duniani..
 
hujui kwamba role model wa mbowe ni kikwete.huoni jk nae anavyosemwa na kumwagiwa maneno lukuki lakin kimya harudishi.ndio mbowe ametoa hiyo busara kwake.

Usimtie Najisi Kamanda Mbowe kwa Kumlinganisha na D.H.A.I.F.U
 

Anaogopa kujibu kwa kuwa anakumbuka kilichomkuta kwenye mtihani wa kidato cha sita. Pamoja na kujibu maswali yote aliambulia division zero (kwa lugha nyingine msamvu). Kwa hiyo usipotoshe watu kuwa ana busara. Hakuna mtu yeyote mwenye busara duniani aliyewahi kupata ziro secondari
 
Mungu awasamehe woooooote walio mahodari kuona vibanzi kwenye macho ya wenzao wakati wao wamejaza maboriti machoni mwao!
 

Chuo cha Busara kiko wapi ktk Dunia hii!? Wewe una Shahada ngapi za Busara!?
 
Mbowe ni kiongozi wa pekee na maccm wameshindwa kabisa kuidhoofisha CDM chini ya Kamanda Mbowe pamoja na kupandikiza mamluki wao ndani ya Chadema wanaowaita wasomi lakini aibu imewakuta

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hakika ni ukweli usiopingika kuwa ndani ya kipindi kijacho cha miaka 20 ni ngumu kupata Kiongozi mwenye uwezo wa kujitolea na kusimamia jambo kwa muda na mali zake kama Kamanda Mbowe. Wengi humu wanapiga kelele tu hata kuanzisha NGO ngazi ya kijiji hawawezi ni pye pye tu. Ndugu zangu kusimamisha taasisi kama CDM pamoja na changamoto zake si kazi rahisi. Kungekuwa na kutunukiwa cheti zaidi ya U- Profesa ndicho kingemfaa. Ukifuatilia toka wazo la CDM lilipoanza hadi hapa taasisi ilipofika Mh. Mbowe ameshajiwekea historia yake hapa Tanzania. Leo kama si Mbowe hivi Zitto/Mwigamba/Mnyika Mdee n.k tungewajua? Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Mh. Mbowe kaza kamba kuna kizazi kitakachokuelewa mbele ya safari lakini si hiki cha kina Dr. Kawambwa na Jenister Mhagama
 
Mbowe sio mwadilifu kwani amewageuza wabunge wa viti maalumu kuwa vimada wake

nani mwadilifu ccm? hata kwa mbowe ingekuwa hivyo mnavyosema si ni afadhali! huyo mbunge ni mtu mzima mwenye utashi na maamuzi yake! tuseme nini juu ya wanaowalaghai na kuwabaka wanafunzi? sitetei uzinzi ila kama ni kuongea sio nyie ccm, labda waseme wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…