Hongera Kamanda Mbowe!!

Mwigulu amefanya nn zaid ya mbowe? Mwigul n gamba tu mbow ndo kamanda wake atmnyoa hyo midevu
 
Unajua kwa nini melody hii imembuma kwa s ababu watu tumekuuliza mara zote na hujajibu tunauliza tena wewe unamfungulia zipu mbowe au wewe unamtaka akutongeze mwanamke jaribu kuwa na nidhamu

Alete CV ya Zakia Meg... from Vt maalum jump to Waziri wa ....... then jump to Waziri wa......... akatemwa Mchakato majimboni,NEC ya CCM ilimtosa,but JK amempa kiti Maalum.. Jiulize kuna nini nyuma ya Upendeleo huu...?
 
Uko sawa mkuu.. Niliwahi kufanya simple rsch . Kwa hawa Machinga.. aiseeee 60% wanaishi kwenye Majumba yao,na wanasomesha na Elimu yao ni STD 7...

hilo halina ubishi kiongozi wangu waambie waje waonevijana wa kariakoo wanavyomiliki mali za pesa nyingi wakati alijitahidi sana kamaliza form four,mkuu upo ndugu yangu?
 
hilo halina ubishi kiongozi wangu waambie waje waonevijana wa kariakoo wanavyomiliki mali za pesa nyingi wakati alijitahidi sana kamaliza form four,mkuu upo ndugu yangu?

Pasuaaaa Kiongozi.. 70% ya tunaoongoza kwa kulipa kodi tuliishia form4 na STD 7.. lakini hao wenye D'gree na Vyeo lukuki ndio MAPAPA WAKUU WANAOSIFIKA KWA UFISADI...
 
ha haha kamanda mbona hujiamini? ..mbowe amechafuka sana hasafishiki hata kwa jikl

Hawezi kumfikia EL anaesafishwa kwa Maombi na Ibada ili ang'ae lakini Bado Doa jeusi kwenye Kanzu nyeupe halitoki.......
 
mkuu MwanaDiwani
mleta hoja ana pongezi za kweli.... ni kiongozi shupavu kwa kutoroshea watu dubai....kutafuta mapato ya chama bila aibu....kutunza na kudumisha ukabila zaidi sana kulea wavuta bangi wazinzi na wauwaji

kama wenyewe wana chadema wamemkubali hata mkijaza post laki humu ndan hawa jamaa wataendelea kumkubali tu.,wanachama wa chadema ni BABA LAO,,
 
Last edited by a moderator:

hao wote uliowataja wako ndani ya CCM. Hv kwa nn hampendi kuweka ukweli uwe nuru? Personal issues hazina nafasi kwa kiongozi mkubwa kama Mbowe ila kwa ww buku7 unazijengea hoja. Hv kwenu hakuna wazee wakupe maadili?
 
Last edited by a moderator:

Ahsante mama ndio uwezo wako umeishia hapo.
 
hao wote uliowataja wako ndani ya CCM. Hv kwa nn hampendi kuweka ukweli uwe nuru? Personal issues hazina nafasi kwa kiongozi mkubwa kama Mbowe ila kwa ww buku7 unazijengea hoja. Hv kwenu hakuna wazee wakupe maadili?

kama uzee ni maadili kwanini hapo ufipa kuna vizee na vibabu vinavyoendekeza utoto mpaka leo?
 
kama wenyewe wana chadema wamemkubali hata mkijaza post laki humu ndan hawa jamaa wataendelea kumkubali tu.,wanachama wa chadema ni BABA LAO,,

mambo yote 2015 subiri tu mwenyewe utakaa.......
 
hujui kwamba role model wa mbowe ni kikwete.huoni jk nae anavyosemwa na kumwagiwa maneno lukuki lakin kimya harudishi.ndio mbowe ametoa hiyo busara kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…