Hongera Joshua Nassari sasa ni usingizi bila chupi

Hongera Joshua Nassari sasa ni usingizi bila chupi

Hongera mbunge wangu,nadhani sasa umeamua kutusaliti wana CHAPUTA wezako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
By the way, hii kitu imekuwa ghafla sana, mahusiano yake na mbunge wa kawe ina maana yalikuwa ni wakati wa kampeni tu? au zilikuwa ni kampeni tuu?
 
Nimefurahishwa sana na bibi Harusi, yuko natural. No make up, no kubadilisha nywele zionekane laini kama za wazungu. Hakuna cha kupaka rangi au kujichubua ili aonekane mweupe.

Big up bi harusi na bila shaka uta maintain msimamo wako, natural beauty.

Tiba
 
Zitto na Mnyika wanangoja nini? Nashauri Mnyika alazimishwe kukamilisha hili swala haraka, sababu zitto alikuwa anaakili nzuri tu, matatizo yalianza alipoanza kupewa majimama na ma-ccm.

safi sana dogo. you are grown up now.

Ungesema Anna Makinda......
 
Back
Top Bottom