Hongera JK, Omba Muhula Wa Tatu

Hongera JK, Omba Muhula Wa Tatu

unatujazia server na ujinga wako peleka uko nyumban kwako!!!
 
unatujazia server na ujinga wako peleka uko nyumban kwako!!!

Mbona una uchungu na server!? Usihofu hautaombwa mchango kununua server nyingine!
 
Labda agombanie ubaba mwenyenyumba nyumbani kwako tena uumpe kura zooooote za ndio Xawa?.
 
Hataki tena! Nafikiri ni Katiba tu ndiyo ina wakwaza marais, vinginevyo wange ung'ang'ania urais kama kupe kwenye ngozi ya mnyama!
Kweli mkuu. Gazeti la Tanzania Daima la tarehe 27 April, 2014 toleo # 3432 limeongozwa na taarifa kubwa ya 'Wastaafu wamteka JK. Yadaiwa ndio walimlazimisha amsaliti Jaji Warioba'. Swali la kujiuliza nchi hii ina Marais wangapi?
 
Mkuu jk amesikika akisema kuwa yeye hawezi kuongeza mda wa uonozi hata iweje ametosha anataka kupumzika kabisa.
 
Kweli mkuu. Gazeti la Tanzania Daima la tarehe 27 April, 2014 toleo # 3432 limeongozwa na taarifa kubwa ya 'Wastaafu wamteka JK. Yadaiwa ndio walimlazimisha amsaliti Jaji Warioba'. Swali la kujiuliza nchi hii ina Marais wangapi?
Mkuu unazungumzia wastafu gani mbona hata warioba ni mstafu,hata hivyo wapi warioba kasalitiwa kwa kipi kwanza tuacheni siasa nyepesi.
 
Mkuu unazungumzia wastafu gani mbona hata warioba ni mstafu,hata hivyo wapi warioba kasalitiwa kwa kipi kwanza tuacheni siasa nyepesi.
Wamewataja Marais na baadhi ya viongozi wastaafu (nahisi Sumaye), lakini kinachostaajabisha kwenye tume palikuwa na viongozi wastaafu tena wenye hashima kubwa sana waliotutumikia kwa uadilifu pengine kuliko hao waliomtisha JK.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom