Hongera Harry!

Hongera Harry!

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,126
Reaction score
35,515
Umepata Kigori!
bf3ee6e4c08b021f0f65bd896a9f94e1.jpg
f0fc0ec63ccab59ed70e79c9225be5e2.jpg
c1c625c5be5f628a98fa03fc07fc838f.jpg
 
Kuna mtu kasema eti huyo dada ni kama bongo muvi?!

Bahati ya mtende imemtokea kuolewa na mwanamfalme wa Uingereza.

Sasa sijui ndiyo kusema kwamba mtu akizoea vya kunyonga vya kuchinja anakuwa haviwezi au ni vipi sasa kaona watoke kwenye himaya ya ufalme [emoji848][emoji848]


Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ni 'bongo muvi' maana ingekuwa hivyo sidhani kama angekubali kuacha 'mema' ya Himaya ya kifalme arudi tena kuhangaika

Nachojua alikuwa muigizaji wa Tv na movie na alikuwa anajiweza tu kimaisha labda kilichomshinda ni masharti ya kuishi kama familia ya kifalme na kukosa Uhuru tu.
 
Wanawake wana'balance aisee, kabisa anatembea na hivyo vimsumari...!

Aahahahahhahahaaaa umenifikirisha ila sitaandika fikra iliyonijia kichwani kwa usalama wa viungo vya uzazi hasa vya jinsia ya kiume...

Kinyume chake wanaume hawana balance, navuta picha mwanaume amevaa kiatu chenye kisigino kirefu na chembamba anatembea.....aahahahahahahhaahahhaaaaaaa looh.
 
Aahahahahhahahaaaa umenifikirisha ila sitaandika fikra iliyonijia kichwani kwa usalama wa viungo vya uzazi hasa vya jinsia ya kiume...

Kinyume chake wanaume hawana balance, navuta picha mwanaume amevaa kiatu chenye kisigino kirefu na chembamba anatembea.....aahahahahahahhaahahhaaaaaaa looh.
Wanaume hatuwezi vaa hiyo michuchumio yenu maana Kwanza tunapenda kulewa Mara kupigana halafu hatupendi tuvae kitu kituendeshe namna ya kuenenda bali sisi tunataka tuendeshe namna gani kitu hicho kiende!
Sasa hapo huyo asipofata masharti ya hicho kiatu chini😂
Mnajitesa Sana na ndio maana tunafaa kuwaongoza sahauni swala la haki sawa
 
Daaah hivi macho yenu hayaoni au.....
Huyu demu kwa Bongo anazidiwa hata na Amber Rutty ndio mnasema kajaaliwa??
 
Huyu ni nani na Harry ni nani na kigoli aliyepatwa ni nani?
 
Back
Top Bottom