Kwa kweli nimefurahishwa na uwezo wake wa kujieleza pamoja na kujenga hoja,nilikuwa naangalia kipindi cha Joyce Kiria ambacho Hamphrey alikuwa mgeni.
Kimsingi ametufumbua macho alipokuwa anaelezea umuhimu wa uwepo wa mfumo wa serikali tatu ktk dunia ya sasa,tulikuwa vijana watatu tuliokuwa tukifuatilia mjadala huo wenzangu wawili ni waumini wa serikali mbili,lakini baada ya mjadala kwisha niliwasikia wakinong'onezana kwamba bwana Hamphrey amefanikiwa kuwashawishi kwamba serikali tatu ndio mfumo mnzuri.
Nilifurahi kwasababu ya kuongeza washirika wa serikali tatu.Najua wako wengi waliopandikizwa hisia hasi juu ya mfumo wa serikali tatu lakini mijadala kama hii ya hamphrey polepole hakika itawafumbua macho wengi katika kuhakikisha Tanganyika yetu iliyopata uhuru mwaka 1961 inarejeshwa mikononi mwetu ikiwa salama salmini.
Kwa kweli wakipatikana vijana wenye kujielewa kama bwana Hamphrey angalau mia na vijana tukaamua kuwafanyia fund raising kwa ajiri ya kuzunguka nchi nzima hata wazee ving'ang'anizi wangebadilika.