Elections 2010 Hongera Halima Mdee

lufunyo

Member
Oct 29, 2010
70
2
Hongera dada Halima kwa kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Kawe. Kwa jinsi nilivyokufahamu kwa muda mfupi ninahakika wananchi wa kawe hatajutia uamuzi wao. Nakutakia kila la kheri na pia umeonyesha mfano kwa watu wengine kuwa hakuna lisilowezekana kama ukithubutu.
 
Tumechoka kusikia habari za watu kula samaki. Sasa hii ni ile ya samaki kula mtu. Hongera sana mbunge wetu Bi Halima tunakuaminia!!!!!!!!!!!!!
 
Congratulations Hal. Mdee. PakaJimmy humpendi zaid yangu. Mimi namuona hata kwenye kikombe cha chai. Wera wera!
 
Back
Top Bottom