Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

Status
Not open for further replies.
duh kumbe kukaa kimya nako ni busara?

Ngoja na mie nikae zangu kimya!!
 

Pasco, hivi katika jamii au tu katika familia mmoja akikosea anasemwa na wooote! Sidhani kama ni lazima sana, wengine wanaweza nyamaza na bado wakawa na masikitiko na hisia sawa sawa na wale wanaoongea. Sio kila mtu angependa kumshambulia mtu kwa umoja, wengine wakisema yatosha, tunaamini aliyekosea anaelewa kuwa hili halijawa jema machoni pa wenzangu. Ushabiki mbali na ukweli mbali, hata nyie mnaoshabikia mna yenu moyoni na wakati huo huo ukweli halisi mnaujua.
 
Kukaa kimya pia ni jibu toshaa.Tena bora hata uongee ujulikane black or white.
 
Mnyika hakupaswa kujiingiza kwenye hili.hakuwa na sababu ya kujiweka kwenye level ya akina Lema,Msigwa na Sugu.Ni kujidharirisha.

Bila kujua,amejishushia heshima katika hili.

Unaonyesha ulivyo juha zaidi ya JUHA KALULU,Mnyika ni mkurugenzi wa habari wa chama kwa mawazo yako asiyasemee maamuzi ya chama?Kumbuka anaweza kuwa hayaungi mkono lkn ndio yameshapitishwa hanabudi kutujuza na kuyatetea la sivyo hafai kwa nafasi ya uongozi
 
Wewe mleta mada ni mkurupukaji kweli. Kukaa kimya katika mgogoro sio busara. Wenye akili tunajua no one is neutral under the sun.

"If you are neutral at the situation of oppression, then you have taken the oppressor's side"

Sasa pima mwenyewe nani ni Oppressor na nani ni Oppressed katika hili sakata, then utajua side ya huyo alie kimya (Neutral)
 
Mnyika na hata huyo mdee wasitegemee kupata ubunge katika majimbo ya dar! Anayebisha abishe tu lkn atajua 2015 itakapofika

Jinsi upepo unavyokwenda uenda CDM ikapoteza majimbo mengi 2015.
 
Kibaraka wa zitto huna lolote unaboa ile mbaya
 

Vipi pasco aka mpanda mbegu ya udini aka mchochea kuni upo?
 

mimi ningekuwa huko baraza kuu ningemlamba bakora kishenzi!!!halafu ningemtupa dirishani.shenzy kabisa.amekidhalilisha sana chuo kikuu alichosoma.UDSM inaonekana sasa ni mafi kabisa.inatoa wasomi aina ya zitto??udsm ianzishe utaratibu wa kuwafuatilia wahitimu wake.WANAKIAIBISHA MITAANI.WANAKISHUSHIA HADHI.
 

kumbe vichaa wengi sana. Use unatafakari kabla ya kutuma uzi wa kupuuzi kama huu. Wote wakikaa kimya nani atamaliza matatizo haya? Huyo mdee hayumo kwenye CC? na huko haongeagi? unafikiri kukaa kimya family yako inapotaka kuangamia ni ushujaa? Hata kama wazazi Wako wanatoana meno ndani we unawashuhudia ukiwa mtu mzima unaweza kutoka nje ukajiita shujaa kwa watu kuwa nimewaacha wazazi wauane wenyewe ndani? U must be crazy
 
@Njepo si aondoke CHADEMA ife mbona anangangana kwenda mahakamani??
Wacheni vitisho ZZK aondoke watu
tupumue, hana lolote anavuruga chama, ni pandikizi la CCM tuu!!
 

Kama unachochea kuni, haziwaki na nibichi.. baada ya kichapo cha Alex tegeta alikuja tunajua aliongea nn.. huwezi kukosa heshima kwa jamii kwa kusema zzt ni mhaini na msaliti...CCM mnatapatapa na galasa lenu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…