Elections 2010 HONGERA Dr. WILLIBROD SLAA

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,552
19,420
Kampeini zako zilifungua akili za watanzania wengi. Ukifika Ikulu usiwatenge wana CCM ambao hawako upande wa mafisadi kusudi kuimarisha utaifa na kuondoa chuki za kivyama iliyojengwa sana na CCM kwa gharama ya utaifa. Vile vile uhakikishe kufanyia kazi maagizo ya tume ya Nyalali mara moja.

Hata kama usipofika Ikulu kwa kuhujumiwa na NEC, bado utaendelea kuheshimiwa sana na watanzania wengi ikiwa ni pamoja na hata wale watakaokuwa wamekuhujumu kwenye uchaguzi huu. Mungu akulinde na alinde kura zako.


Kich..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom