Hongera Dr. Sam Sasali

franktemu123

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
1,400
1,451
Hongera sana kwa hatua uliyofikia ukiwa na umri mdogo. Endelea kuPambana 2020 wananchi tunakukabidhi jimbo la Kawe. Mdee akae benchi sasa. Kaishiwa pumzi.
 
Ukute hapo alikua anamtumia msg mtu kakosea kaipost huku.....
Sasa ndo nini hiki rafiki kuja utueleweshe sababu ya kuandika hii kituu
 
  • Thanks
Reactions: ovi
~~~~>>>>Vijana wa Dar mna matatizo... Hata kuandika tu ujumbe unaoeleweka mmeshindwa...........
 
If you study PhD and your CV is not promising you are in Tall water! No one is going to employ you unless Magufuli sees you!
 
Kale ka jamaa sema huwa kama vipoint vya kuruka ruka

Nadhani atakuwa anamzungumzia Mtangazaji aliyejizolea ' umaarufu ' mkubwa kwa sasa Sam Nathaniel Sasali wa Clouds tv hasa katika kile Kipindi chao ' Kizuri ' cha 360.

Labda niseme tu kidogo huyu Mtu ukiwa unamwangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani labda ni ' mpuuzi ' fulani hivi ila bila kuwa ' mnafiki ' na huwa sina ' unafiki ' nadhani Clouds Media Group kama kuna ' Jembe ' ambalo imepata na wanatakiwa hata wamtunze na ikibidi wamuongezee na ' mtonyo ' ni huyu Mtangazi Sam N. Sasali.

Sam Nathaniel Sasali ana vitu vifuatavyo ambavyo Watangazaji wengi wa Tv hata Redio hawana na hawatakuwa navyo milele:

  1. Mbunifu.
  2. Naturally ni Comedian mzuri sana na ameweza kuutumia huo ' ukomedi ' wako vizuri mno katika uwasilishaji wake wa maudhui yajayo mbele yake.
  3. Ni all rounder fella nikimaanisha yupo ' versatile ' au ' mnyumbulifu ' kulingana na hali iliyopo.
  4. Ni very knowledgeable kwa mambo mbalimbali na pia kwa ueledi wake mkubwa wa masuala ya Human Resource Management amekuwa ni msaada mkubwa kwa wasioijua.
  5. Anaishi ' kiuhalisia ' kwani hakuna ambaye hajui kuwa ' Jamaa ' kakulia ' uswazinyo ' kabisa tena pale kwa ' masela ' Magomeni ' kota ' lakini pamoja na mafanikio yake yote ya Kimaisha kwa sasa bado hadharau alipokulia na hadanganyi kuwa ameishi ' uzunguni ' au amekulia maisha ya ' kishua ' kama ilivyo kwa wengi wetu.
  6. Ana very excellent team work skills kitu ambacho kinamfanya kukubalika na kila Kundi la Kazi analokuwa nalo na katika Kazi au jukumu lolote lile ukiwa na Sam nadhani huwezi kuchoka.
  7. Ni mchapakazi hasa na ana akili au IQ kubwa mno hivyo sitoshangaa huko mbele nikija sikia kuwa kawa kweli Mbunge wa Kawe au kawa na Mamlaka fulani kwani yeye ni ' hazina ' kubwa ambayo nchi inaihitaji.
Popote alipo ajue kuwa Mimi ni ' Fan ' wake mkubwa sana na namkubali mno na namtabiria ' makubwa ' mazuri hasa Kimafanikio ama akiwa hapo Clouds Media Group au kokote kule kwingine. Ayashike haya maneno yangu kwani nina uhakika kuwa yatatokea tena very soon.
 
Mwandiko wako mzuri
Sema maelezo yamekuwa na mbwembwe sana
Any way nimtazamo wako nami nayaunga mkono kwa kusema sasali yuko poa
 
Back
Top Bottom