Hongera dr. Lwaitama kuungana na UKAWA

Kuna watu wa ovyo saizi Chanel ten wanawapinga UKAWA yuko mkinga na yule Mzee mweupe wa chuo cha bagamoyo na means ccm na muongozaji kipindi ni kanda wa ccm Mzee wa kikofia
 
Anasema Warioba hakutumwa Kuifufua Tanganyika, hahahaa kumbe anajua Tanganyika kuwa ipo lkn imeuliwa. Hahahah huyu Jamaa kumbe Bogas sana, km hakukuwa na haja ya Katiba mpya kwanini walikubali Chama chao kuanzisha mchakato wa Katiba mpya? Lkn bado anataka BMK liendelee.
 
We nae utaitwa chizi kutetea ujinga, yani huoni aibu uozo unaofanywa na chama chako cha CCM, au ndo mshakubali kutumika
 
Wanajamvi,

Leo nimemwona dr. Lwaitama akiunga mkono kwa nguvu zote UKAWA.

Hawa ni aina ya wasomi weledi ambao hawafungwi na woga katika kutetea ukweli,wasomi wengine wa mwige dr. Lwaitama, njaa zisiwafanye wakane usomi wao.

Msimamo katika ukweli ndio sifa ya msomi makini kama dr. Lwaitama na wengine wanaounga mkono UKAWA ambao wanasimamia maoni ya wananchi ambao ndio wenye nchi yao.

Kwa hiyo wewe unakubaliana na kitendo cha Rais wa nchi, Jakaya Mrisho Kikwete kuhutubia Bunge la Katiba na kulitaka liungane na msimamo wa chama chake kuwa na Serikali mbili.

Lwaitama kama anakubaliana na tabia hii ya Rais kuyumbisha maoni ya Tume, na wewe tutakutilia mashaka.
 
Hongera Dr. laitamwa
Hata hivyo Ametujeruhi sana siku za nyuma kwa kuiunga nkono ccm.
Hongera kwa Kuona njia ya ukweli.
 
Back
Top Bottom