Hongera dr. Lwaitama kuungana na UKAWA

Hongera dr. Lwaitama kuungana na UKAWA

Kwanini wadau weki wa ukawa ni wale waliofilisika kifikra? Make wasomi wengi walioko ukawa ni wale ambao maisha yamewashinda wameporomoka kama mlima mfano lipumba na Lwaitama ni miongoni mwa wasomi wasiokuwa na maana kwenye nchi hii.
 
Lwaitamwa alishaa changanyikiwa muda sasa 2010 alifikuria slaa angeshinda tz tangu hapo hajaponaga tena
Kabisa kabisa mkuu jamaa kavurugwa kitambo kweli bado kidogo atakuwa anatembea huku anaongea peke yake.
 
Ukiona mtu anasema jambo ambalo hulielewi huna sababu ya kupoteza muda wako kumshangaa. Endelea tu na shughuli zako nyingine.

mmtashangaa sana mwaka huu,mliozoea vya kunyonga 2015 tunaziba mirija.poleni sana
 
Huyo Dr.Lwaitama ndiyo nani mkuu? Tafadhali tujuzane maana huwa ni faraja kuona mtu anakiri ukweli na si kutumika tu kama maccm.
Huyo ni mpiga debe fulani wa chadema ambaye ni miongoni mwa watu ambao maisha yamewachanganya wakachanganyikiwa.
 
Ata kingunge akisifia cdm lazima atatwa msomi tu na baregu akitofautiana cdm ataitwa kilaza
 
Kabisa kabisa mkuu jamaa kavurugwa kitambo kweli bado kidogo atakuwa anatembea huku anaongea peke yake.

mmevurugwa nyie misukule msiojitambua,mnashabikia wezi wa raslimali zetu bila hata aibu? Nyambafu
 
Nipo Mwanza kikazi,2015 ntakuwa likizo Magu,haki ya mama magamba mkichukua hata mtaa mmoja Magu Mjini mnifire
 
Kwanini wadau weki wa ukawa ni wale waliofilisika kifikra? Make wasomi wengi walioko ukawa ni wale ambao maisha yamewashinda wameporomoka kama mlima mfano lipumba na Lwaitama ni miongoni mwa wasomi wasiokuwa na maana kwenye nchi hii.
Wasomi waliyokula ujana sasa wamerudi ukawa kumalizia uzeee
 
Tutaua magamba kimyakimya na naomba makamanda wengine mniunge mkono muhakikishe ktk maeneo yenu gamba hachomozi,Kumbukeni uchaguzi unaanza ktk zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu na hakikisheni mnapanga ushindi kuanzia kwenye daftari.
 
Namsubiri Humphrey polepole, palamagamba kabudi na Profesa Mwesiga Baregu waoungane na watetezi wa umma na kuelezea mchakato mzima ulivyokwenda na hila ya Magamba
 
Pro. Shivji bado anasaka tonge! Wenzake wameshaujua ukweli yy bado hajashiba mpaka leo! Lool.
 
Kabisa kabisa mkuu jamaa kavurugwa kitambo kweli bado kidogo atakuwa anatembea huku anaongea peke yake.
Niambie ni msomi gani wa ccm analisaidia taifasasa je ni magufuli mtaalamu wa kukariri majina ya barabara na km zake, prof muhongo anayetukana wazawa au dr Mwakyembe aliyejifanya kupambana wauza nadawa ya kulevya na mbembwe nyingi sijui hata kaishia wapi au labda kajiunga nao mi sijui ila ni msomi wenu.
 
Tanzania bwana yaani ukipinga ccm tuu unaonekana msomi,pole sana
 
Back
Top Bottom