Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
ItV, habari saa 2 usk.Source
Source
Hata mimi na mshangaa mtoa mada.Kwani ni lini Dr Lwaitama alikuwa against na UKAWA?
Huyo Dr.Lwaitama ndiyo nani mkuu? Tafadhali tujuzane maana huwa ni faraja kuona mtu anakiri ukweli na si kutumika tu kama maccm.
Dr. Lwaitama siko zote ni msema kweli
Wananchi tunatakiwa tuungane kudai katiba yetu
Huyo Dr.Lwaitama ndiyo nani mkuu? Tafadhali tujuzane maana huwa ni faraja kuona mtu anakiri ukweli na si kutumika tu kama maccm.
Hata mimi na mshangaa mtoa mada.
Lwaitamwa alishaa changanyikiwa muda sasa 2010 alifikuria slaa angeshinda tz tangu hapo hajaponaga tena