Hongera Dkt. Samia Suluhu Hassani kwa kuwaumiza hawa watu maana wao ndio walikuwa makuadi wa wakulima

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Rais Samia happy 88 day!

Rais Samia Mimi kijana wako, mwaka WA fedha 2021/2022 nilishangaa sana nilipo kuta waziri wa kuliko akiwa miongoni mwa wanunuzi wa zao la choroko pale wilayani Magu.

Nakumbuka nilikutana na kasarali mageni akilalamika dhidi ya hatua zilizokuwa zimechukuliwa na wizara ya kulimo, dhidi zao la choroko.

Mwaka 2018/2019 nilikutana na Kasarali Mageni (sasa ni Mbunge wa kwimba),akiwa anajishugulisha na shughuli za kuliko cha mpunga, huyu kijana alikuwa anafanya kilimo kikubwa Sana baada ya kukodi mashamba makubwa pale maeneo ya karbu na ifakara, baada ya kuwa amekopeshwa trekita kubwa la kilimo chini ya mwamvuli WA umoja wa vijana CCM. (nakumbuka trekita lilikuja likakamatwa Kwa Ila huyu kijana hakuna na shida ni miongoni mwa vijana waliojitambua Sana)

Tulipokutana ndioo nilipofahamu yakuwa madalali wakubwa wa mazao ya wakulima walikuwa ni viongozi wa kisiasa.(ambaplo walichangia Sana upangwaji wa bei elekezi za mazao ambazo zinawakandamiza wakulima na wao kunufaika chini ya vijikampuni vyao uchwara.

Kutenda cha serikali kununua mazao chini ya mfuko maalumu ili Jambo la kupongezwa limekata mizizi ya madalali ambao wengi wao walikuwa ni wanasiasa.

Sasa waje wanunue au la waingie shambani walime. Pole kwako wewe Mbunge uliyefariki ukitoka shambani kulima kwa kugongwa na trekita hayo ndiyo madhira waliokuwa wanapitia wakulima Tanzania.
 
Ongera sana mtoa mada kwa kutuhabarisha.

Ila wakati mwingine ukumbuke basi kuandika Hongera.......!
 
Back
Top Bottom