Hongera Diamond kwa mtazamo mwema juu ya Kiba na Harmonize. Huu ndio uungwana

Mna m diss mwenzenu ye hana time na nyie wala hawajui wala hampunguzii chochote awe mchawi, awe nani kila mtu ana life style yake mbona wachawi wengine hawatoboi maisha kama yeye, acheni ushamba wa kizamani
 
Leo mnamuita mmakonde lakini kipindi yupp WCB alikuwa mungu mtu ama kwelu duniani wanafki ni wengi wengine wanafuata upepo tu hawaelewi hata hatma yao ni nini
We jamaa chupi kweli, zaidi ya kuniona jamii forum hunijui kwa chochote hatma yangu unaijuaje? Ye mwenyewe anajiita konde boy sioni unaumia vp watu tukimuita mmakonde!
 
Hayo ya nyuma ya pazia mbona hamuyasemi?
Haina haja. Yeye afanye yake na sio kuwatafuta watu ili aonekane mwema. Kwenye Press conference alisema "kuna wasanii weng watashiriki ila nmeambiwa nisiwataje majina,tena meneja babutale kaniambia hadi Ali Kiba anataka kushiriki". Sasa wasanii hukutaja majina,huyo mwingine unamataja wanini kama sio unafiki tu?!
 
kijana hebu punguza uongo uende mbinguni, press niliangalia kupitia wasafi tv hakuna sehemu diamond alisema hivo
 
😂😂
😂😂😂😂
 
Ukitaka kumfahamu diamond vizuri, msikie kwa mtu wake ambae waliishi nae geto,ommy dimpoz...msikilize ukiwa umetulia

Kuondoka harmonize, mavoko ....kuna rudisha hii tabia. Machoni kww watu he is good

"UMKOME"
alishasema aliibiwa penseli,sasa amenunua penseli nyingine ya kuandikia mashairi sasa mpinzani wake akaamua kununua ufutio

Kila akiandika anakuta jamaa amefuta mashairi ndio maana hatoi ngoma
 
Ukitaka kumfahamu diamond vizuri, msikie kwa mtu wake ambae waliishi nae geto,ommy dimpoz...msikilize ukiwa umetulia

Kuondoka harmonize, mavoko ....kuna rudisha hii tabia. Machoni kww watu he is good

Yani kuna watu mkuu wanamuona Kama huyo jamaa hakoseagi ila jamaa ana roho mbaya kwa wasanii wenzake japokuwa kiba ana matatizo yke
 
Licha ya kwamba ni burudani.pia ni biashara ile mkuu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…