Hongera Diamond kwa mtazamo mwema juu ya Kiba na Harmonize. Huu ndio uungwana

Bwana mdogo kajua kucheza akili za wadanganyika..

Katoka kumtoza mil500 mmakonde wa watu km ada ya kuvunja mkataba, lakni leo anajidai kumtaka kijana ashiriki tamashani..
Ktk maisha hujawahi kufanya mkataba hata wa kupanga chumba cha Giza?

Mkataba ni kama Katiba ,bila hivyo mambo hayaendi wewe dogo,,,kwahiyo ulitaka afanywaje?
Mimi mwenyewe hapa nataka kukatisha mkataba ktk kampuni nifanyayo kazi kwakua nataka nikafanye mambo mengine ila mkataba unanibana kuna baadhi gharama natakiwa kulipa vilevile mambo mengine ni kama tunagawana na kampuni tofauti ningesubiri uishe
😂😂😂 eti kaka hii hitwaLaw of Contract
 
Hivi ni Diamond kamtoza au mkataba ndo umemtoza?!
boss wa wasafi ana kauli kubwa sana kwenye lebel yake.

na je hapo ni mkataba ulimuita harmo kwenye show au ni yeye binafsi kama CO?

unadhani nani angekataa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom