Hongera DC wa Ilala Sofia Mjema kwa busara yako kutii na kuwaondoa FFU katika mkutano wake!!

Watu wapigwe siku 2 mfululizo kama vile kijijini kusiko na serikali kumbe n Dar!!! Yuyo mkuu wa wilaya alikuwa wapi? Kwanini hakujitokeza kuwazuia wasipigwe?
 
Watu wapigwe siku 2 mfululizo kama vile kijijini kusiko na serikali kumbe n Dar!!! Yuyo mkuu wa wilaya alikuwa wapi? Kwanini hakujitokeza kuwazuia wasipigwe?
Hakuwa na taarifa sahihi... hata idadi ya siku mpaka siku anakwenda bado haambiwi kweli ulitegemea alale nyumbani kwake tu na aote kuwa Polisi wanapiga watu Ukonga na Mombasa
 
Kosa kubwa sana, hapo anawajenga wananchi ktk hali ambayo baadae itakua mazoea.
 
Maskini binti alikuwa na wakati mgumu huyu kutuliza mkutano wa walevi wa Kitunda!! Sasa naona na ma-bouncer yamo mle na yenyewe yalipigwa eti yanakuja kulia hali kwa mkuu wa wilaya!?? Dar hebu badilikeni bwana!!
 
~~~>>>Watanzania tu wajinga sana.... Huyo mama kaja kuwahadaa wananchi nanyi mmekubali .. Huo ni ulimbukeni.
Usiseme kuwa watanzania ni wajinga inaonekana kuwa wewe ndiye mjinga sio watanzania.
Hatutaki anayewapotosha watu kama wewe.
 
To be honest askari akiuliwa arafu askari wake wa kambi kukaa kimya ni undezi MAANA WATAMUUA MMOJA BAADAE RAIA WATAWAUA 20 THEN 80 SO KICHAPO KINAJENGA NOTION NZURI KUWA HAWA WATU SIO WA MCHEZO MCHEZO

Bila siraha Askari ni mtu wa kawaida useme tu Ustarabu wa Watanzania
 
Sisi huku tushagazoea vipigo. Moto ukichomwa kuelekea mahali kule tunahama kijiji kupisha fagia fagia isiyo na macho
 


Siro badili njia ya utendaji.....ukweli unafas kujiuzulu...utasabisha matatizo na utaiharibu Tanzania.
Ukweli haufai...hayakuwepo hay wakati wa IGP said mwema...yanatokea sasa hivi kwa kulifanya jeshi letu liwe ni adui wetu...ukweli hali hii ni ya kutisha
Wala sio suala la FFU peke yao wananchi wanasema walinyimwa PF 3 na polisi ili wasipate matibabu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom