Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,417
Wana MMU napenda kuwapa habari njema kwamba mwana MMU mwenzatu charminglady amejaaliwa kupata Baby Boy mwenye afya njema.
Naomba tumpongeze na kumpa zawadi humu humu MMU.
Taarifa hizi ziwafikie:
Baba yake Mwita Maranya, Madame B, King'asti, Blaki Womani, Arushaone, snowhite, Asprin, moniccca, kipipi, Asnam, Eiyer, Chachu Ombara, Mtei, Filipo, Preta. sweetlady