Hongera CCM

Maskini watumwa wa Mwigulu Nchemba mmeanza kuona dalili ya kibarua kuota nyasi.

Damu iliyomwagwa na ccm hapa SOWETO inakwenda kuizika ccm rasmi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
du nahau na misemo mingi lakini naona ni nji ya kujipa faraja, mbona mwenezi wenu alikataa kuzungumzia uchaguzi wa arusha ila zile zingine alizungumza. ifike mahali mkubali kuwa umri wa chama chenu umeenda na hivi karibuni mtaaga kwenye ulimwengu wa siasa wa Tanzania.
 
Ngoja daftari la wapiga kura liboreshwe,ndipo utakapo tambua ya kuwa ccm ni chama cha zamani
 
Umetumwa na mwingulu nn dada! Pole yako siasa bado huiwezi hatakidogo!


Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Juliana Shonza, Mtu wa Shamba ametoa tathmini hii hapa: Tembelea uzi huu Chaguzi ndogo 16/6 na 14/7 majumuisho na tathmini


Unasemaje kuhusu nafasi ya CCM hapo?
 
OSOKONI; Ni kweli kabisa mkuu, Kamanda Mwita Maranya; amemmaliza kabisa huyu Shemeji Shonza kwani kushindwa hesabu ya kujumlisha ni fedheha kwa binti aliyehitimu UDSM!
 
Last edited by a moderator:

Nilitamani kumkumbusha hili ila kwa kuwa nawewe umeliona basi haina haja tena! Labda nikupingeze tu nawewe kuliona hili. Tatizo la Juliana huwa ana akili za kitoto sana, ni miongoni mwa watu ninaowapuuza katika kila tendo wanalofanya katika ulimwengu.
 
Radhia..Dawa ya moto ni moto....Mtu anaongea kama vile hana kichwa wala shingo wewe unamsifia tu...Acheni hizo la sivyo mtawabemenda watu kama Shonza

Magwanda yanachojua ni mitusi tu. Si ilizaliwa Kariakoo mijitu mingine humu.
 
Ndugu wanajamvi hili nimekuwa kimya kwa mda kidogo baada ya uchaguzi wa Arusha niliona niwaache wanachadema mtambe mtambike mara baada ya ushindi huo mlioupata.

N
Haya mwalimu, twende kazi...

1. CCM ndiyo chama kilichoongoza kwa kupinga matokea ya ubunge katika majimbo waliyoshindwa kwenye uchaguzi uliopita. Walipinga katika majimbo yote isipokuwa machache kama Karatu, Maswa, Mbeya mjini
2. CCM ndiyo yenye historia ya kulazimisha matokeo kwa vurugu na polisi kwa mfano Segerea, Shinyanga, Kibaha nk


1. Mmeraribu mmeshindwa na sasa mjipange upya
2. Mbuyu ulianza kama mchicha, huo mbuyu gani unabaki tu kama mchicha kwa miaka 50?!
3. Kura mlizopata sio nyingi, unless ulete data. Acha kutudanganya...
4. Hauna uthibitisho kama kura za CCM zimeongezeka, basi zimetoka kwa walioipigia CDM 2010...
5. Mmeshindwa kujiweka katika ushindi kwa kipindi chote kuanzia 2010, ni kipi kitawapa ushindi 2015?


1. CDM mwanzoni hawakushinda kata 4, bali walishinda 6 mwalimu (Babati, Ifakara, Sengerema, Mbeya, Singida, Mbulu)
2. Mwigulu aliweka kambi Arusha kwa zaidi ya mwezi mzima, mawaziri kadhaa walikuwepo Arusha wakati wa kampeni nk, nguvu ambazo hazikutumika mikoa mingine
3. Kweli Ukipenda chongo huita kengeza, lakini kumbuka pia "la kuvunda halina ubani"... na Mkataa pema, pabaya panamwita...

By the way, kabla hujaingia CCM, walikuwa wanashinda zaidi ya hapa. Kwa kuporomoka huku, hujioni kuwa mojawapo ya chanzo cha tatizo? Kwa hiyo Juliana Shonza anawapa ushauri na kuwapa pole kina Mkapa, Kinana, Kikwete, Migiro, na wengine walioumia kwa kushindwa kwa CCM?!!!
 
kwanza wewe ni muongo kama ungetaka japo kuaminika kidogo ungeandika takwimu sasa za uchaguzi wa mwanzo CHADEMA ilipata viti sita na sio vinne kama unavyopotosha,CDM ilishinda SENGEREMA,ISEKE,DONGOBESH,BASHINETI,IFAKARA NA IYELA MBEYA kwa uongo huo tu hupaswi kuaminika lakini pia nikukumbushe kwamba kata kama zile mbili za muheza ambapo awali ilikua ni strong hold ya ccm chadema ilipata kura nyingi sana pia kata ya manchira serengeti ccm wametumia majambazi kuiba kura na kuteka watu, wewe gamba huu ndio mwisho wenu tafuta pia matokeo jumla ufanye majumisho na ndio utajua nani anapoteza kati ya ccm na chadema. kwa sisi wanamageuzi tunajua kwamba kitendo tu cha cdm kusimamisha wagombea kata zote kuzuia magamba kupita bila kupingwa ni mafanikio makubwa sana na siku za ccm madarakani zinahesabika umechagua fungu la kukosa.
 

kilaza huyu ndio maana anaongea juujuu tu, inaelekea alifaulishwa kwa njia mbadala si unajua kauli imbiu yao kila kitu kinanunuliwa, alidhani kununa degree ndio kupata elimu ona sasa anavyojikoroga, CCM imejaribu eeh haikwenda kushindana hahah kwa arusha ccm ni mchicha acha utafunwe tu unapeleka mambo ya kijani arusha...kazi kuharibu tu pesa za walipa kodi kwa kunua shahada na kuwarubuni bodaboda yaone kwanza
 
Juliana, mimi ni mwana-ccm ila analysis uliyoifanya ina leta maswali mengi na hatustahiri kujipongeza abadani. Tungeweza kujipongeza kama tusingepoteza kata yoyote kwa wapinzani. Tungeweza kujipongeza kama angalau hata tungeongoza kwenye baadhi ya vituo huko Arusha. Juliana hujatoa takwimu ya mwaka 2010 na 2013, tumeongeza kura kwa kiasi gani? Kusema tumeongeza kura bila kuweka takwimu ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, haikubariki katika analysis. Tuchukue kuw hii ni changamoto kwetu na si jambo la kujipongeza hata siku moja. Tujisafishe ili turudishe imani kwa wananchi.
 

Wewe Shoza achana na AKILI ZA KUPAKATWA. Ulikuwa una fanywa nini kiasi kwamba unajiaminisha kwamba matumizi ya Helkopta yalikuwa Arusha peke yake? Muulize Mwigulu atakuambia Helkopta ilifika hadi Muheza kwenye kampeni za Udiwani wa Kata ya Genge. Makamanda walishoka kama Mwewe na kuitoa jasho CCM licha ya kutumia kila Taasisi ili kujipatia ushindi ambao ulikuwa kiduchu.

Tuna kushukuruni sana kwa jinsi kampeni zenu zinavyo endelea kutupatia ushindi kadri muda unavyo kwenda. Muendelee na moto huo huo na tumeamini kwamba CHADEMA ipo ndani ya CCM. Hongereni kwa kazi nzuri.
 

Huyu ndio Radhia Sweety !!!!!! ngumi yake inapiga popote shauri zenu! kwi kwi kwi!
 
Last edited by a moderator:
Juliana acha uji.nga we unasema cdm ijitathimini why magamba mmepata kura nyingi hujui kwamba mliwatisha wananchi hasa wafuasi wa cdm wasipige kura kwa wingi,je hujui kwamba mliwalipua watu na bomu,je hujui kwamba wapiga kura wengi hawakujitokeza kama 2010,pia tambo zenu zote mlikuwa mnauhakika cdm wengi mngehakikisha hawapg kura bt pamoja na kwamba cdm wamejitokeza wachache na magamba mkaja wote na hila,rushwa,wizi bt bado makamanda waliwashughurikia vyema mpaka bwana ako michembe akatimua mbioooo boya ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…