Hongera CCM kwa kuiletea maendeleo haya ARUSHA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera CCM kwa kuiletea maendeleo haya ARUSHA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marytina, Jun 8, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  MIAKA 50 YA UHURU:
  Watoto na wazazi wa Kijiji cha Oliipil, Loliondo mkoani Arusha wakisubiri wauguzi na madaktari kutoka Hospitali ya Wasso kwa ajili ya kliniki. Jengo linaloonekana ndiyo zahanati na kliniki ya kijiji hicho. Picha hii ilipigwa na Manyerere Jackton wiki iliyopita.

  Take this:'Bila ccm hata nguo tusingekuwa nazo yatupasa tuishukuru'Mwenyekiti wa CCM Kisarawe
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mh,umetoka mbali na wewe,...
  Merytina
  marytina
  .......
  ......
  ......
  martina,....
  i cant imagine the next BAN utakuja na jina gani
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Haya ndio maendeleo kweli? Hii ni kejeri kwa watu wa Arusha.
   
 4. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 783
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nimeipitia post hii lakini nimekosa cha kuchangia, anyway, jitahidi
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  That is the best ccm can do! Halafu mawaziri wametumwa waende wakawaeleze maendeleo ambayo serikali yao imefanya. Haya ndio maendeleo yenyewe! Hao ni watoto, wazazi wao watakuwa wamevaa t-shirt za kijani au njano na zimeandikwa "chagua ccm, chagua Mkapa!". Safari bado ni ndefu.
   
 6. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,849
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kaazi kwelkwel...
   
Loading...