Hongera Bastian......


GedsellianTz

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Messages
1,288
Likes
1,673
Points
280
GedsellianTz

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2016
1,288 1,673 280
Ili ndoa iweze kudumu na kuwa na amani na furaha muda wote unatakiwa kuwa na hekima ,busara ,uvumilivu na pesa na uaminifu .Ndoa ni pesa siku hizi na Pesa ni ndoa ukikosa pesa hauwezi pata ndoa na ukipata ndoa na ukapata pesa basi furaha ni sehemu yako ya maisha daima.

Bastian Schweinsteiger napenda kumwita German Shepherd ana umri wa miaka 31 na ana utajiri wa $84 Million ,anapata pesa kupitia karama yake ya soccer na kutangaza bidhaa zifuatazo Adidas, Audi, Right Guard, Nivea, Beats by Dre.

Ana Ivanović ndiye mwenye hazina ya furaha na vicheko vya
Bastian Schweinsteiger ,siku ya leo wamefunga ndoa katika jiji la Venice, Italy. Ana Schweinsteiger (Ivanovic) mwenye umri wa miaka 27 ni mcheza Tenis ambaye kwa sasa anashka nafasi ya 25 katika kiwango cha ubora wa wachezaji wa kike wa Tenis- Women's Tennis Association [WTA]

Ana Schweinsteiger (Ivanovic) yeye ana utajiri unaokadiliwa kuwa na kiasi cha $15 million ,mama ana pesa baba ana pesa na kinacho waunganisha ni upendo ambao umezaa ndoa ,ni furaha gani walio nayo hawa wanandoa .

Hakuna kitu kizuri kama kuwa na rafiki ambaye ni mkeo na kuwa na swahiba ambaye ni mume wako ,Don’t stop dating your WIFE and never stop flirting with your HUSBAND. #GGMU #loveAndFootball
 

Forum statistics

Threads 1,235,535
Members 474,641
Posts 29,225,915