Hongera Bakhresa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Bakhresa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Snitch, Jan 28, 2012.

 1. S

  Snitch Senior Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hi folks..

  For the past 6 to 7 months , I have been witnessing different kinds of products branded AZAM in our local markets ( shops / street vendors etc)
  Kwakweli it's very promising kuona kuna vitu tunaweza kusema vinatoka Tanzania ... Napenda kuchukua nafasi kuwapongeza kwa ubunifu wenu kuhakikisha mnagusa kila kada na watu wa vipato tofauti.

  Hongereni Nasi tutawaunga mkono Kwani tumechoka kutumia products toka nje ya mipaka yetu...

  Ushauri wa Bure kwa kampuni nyingine Kama Tanga Fresh na ASAS watupe aina zote za products zinazotokana na Maziwa wasiishie kwenye mtindi na cheeses.
   
Loading...