Hongera Azam Media Kwa Usikivu

Hongera Azam Media Kwa Usikivu

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
Naona mmepania kweli, kila dakika 10 salamu za Pasaka 🙂. Heko kwa kusikia malalamiko/ushauri wa watazamaji. Sasa bado tu suala la Tamthilia zisizofaa kwa nchi yetu isiyo na dini, natumaini season zake zikiisha mtaachana nazo. Asanteni tumeona burudani kwa wote.
 
Wameona mnalalamika mno wameona wawakere kabisa
 
Naona mmepania kweli, kila dakika 10 salamu za Pasaka 🙂. Heko kwa kusikia malalamiko/ushauri wa watazamaji. Sasa bado tu suala la Tamthilia zisizofaa kwa nchi yetu isiyo na dini, natumaini season zake zikiisha mtaachana nazo. Asanteni tumeona burudani kwa wote.
Bado mna muda wa kutazama TV? si bure Mjapani mmoja alikuwa kwenye Market research ya hizi TV akasema soko kuu kwa sasa la Televion ni Africa, huku ndio kuna watu bado wanatazama TV wazungu na watu wengi wa asia walisha achana na huo ujinga.
Binafisi huu ni kwaka wa 10 nisha achana kabisa yaani labda mpira pekee ila sio nikae eti kutazama Tamthilia sijji Taarifa za habari za Ki CCM
 
Back
Top Bottom